We tunajua umesomea kila aina ya career uko na PHD ya "Doctor of Philosophy in Ujinga" , you clearly cannot be taught anything, next week nitakuona kwa mada nyengine ukidai wewe ni economist na hakuna mtu anaweza kukushinda kwa utaalam wa kiuchumi..... Mwanzo si ni last month tu tukiongea mambo ya Axle load ulisema siwezi kufunza lolote kuhusu railway engineering manake wewe ni mtaalam wa railway enginnering???
Ona hapa pia
View attachment 1949811
I'm very sure tukifanya survey hapa JF na kila mtu aulizwe kama ushawahi kuwaambia wewe ni mtaalam wa nini, tutapata zaidi ya taaluma kama saba hivi ambazo wewe umesema ni "Expert" nashuku hata hili taji la "JF-Expert Member" hua unalitumia offline kule mtaani unapojadiliana na watu, ukiona unashindwa na argument unaanza za, 'unajua mi ni JF-Expert member' [emoji1787]