Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #12,821
Yapi Merkezi hana uwezo wa kujenga lot tatu (3 & 4 mpya na lot2 ikiendelea) kwa mkupuo na kukamilisha kwa wakati! An open bidding ni muhimu! Usijidanganye!sijui
Yapi Merkezi hana uwezo wa kujenga lot tatu (3 & 4 mpya na lot2 ikiendelea) kwa mkupuo na kukamilisha kwa wakati! An open bidding ni muhimu! Usijidanganye!
hiyo ni opinion yangu! sasa sijui una mhemko wa nini? 🤷♂️sikulazimishi na sijawahi kumlazimisha mtu kuniamini! hasa watu wabishi kama nyie
Niliyasema haya hapo mwanzo kuwa kuna wapigaji wamejificha kwenye kichaka cha ppra lakini wengine wakaniona sifai competitive bidding itumike haya sasa tutayasikia mengi yetu macho.Ndio mana tunaitaji kuendelea na yarp maerkez kwanza kazi yao ni bora na inaufwnisi ukiachia kuchelew...hawa wachina ni wahuni sana
Hawa Yapi Merkezi kama wako bomba mbona lot5 hawakupewa na JPM? competitive bidding is the only way kuepuka kupigwa! usiwaamini hawa Yapi Merkezi ni wapigaji nao kwanza wafanyakazi wao zaidi ya 700 wanatumia business visa na kukosesha mapato serikali!Niliyasema haya hapo mwanzo kuwa kuna wapigaji wanejificha kwenye kichaka cha ppra lakini wengine wakaniona sifai competitive bidding itumike haya sasa tutayasikia mengi yetu macho.
Kwa cost yao waliotaja ni better kuliko variations watakazoleta baadae na chinese standardsat what cost?
itaje basi tuiangalie!Kwa cost yao waliotaja ni better kuliko variations watakazoleta baadae na chinese standards
Kukosea kuandika neno moja haliwezi kufuta seriously allegations zilizo tolewaGazeti linaloandika "continue welding" badala ya "continuous welding" liache utaratibu wa kupata kandarasi kisheria ufanyike! hao Yapi Merkezi walikosa lot5 kwa vile walitaja gharama za ajabu! Si wasafi vilevile!
Bora tuende na yarp merkezsikulazimishi na sijawahi kumlazimisha mtu kuniamini! hasa watu wabishi kama nyie
kwa taarifa yako source ya kilichoandikwa Jamhuri walipata humu JF kuna mtu ali-post confidential letters! Na walichofanya ni kuweka ushabiki na kujifanya wameongea na Masanja Kadogosa hapo mwisho! Ndo maana magazeti haya yanafungiwa kila siku!Kukosea kuandika neno moja haliwezi kufuta seriously allegations zilizo tolewa
Yapi Merkezi is a huge company, wana uwezo wa kujenga hivyo vipande wakati wakiendelea na lot 1 & 2. Kumbuka kila lot ni project on its own na zinakuwa na resources zake tofauti.Yapi Merkezi hana uwezo wa kujenga lot tatu (3 & 4 mpya na lot2 ikiendelea) kwa mkupuo na kukamilisha kwa wakati! An open bidding ni muhimu! Usijidanganye!
haya ngoja tuone mimi naomba fair procurement process maana najua kitakachoenda kutokea tukimpa Yapi Merkezi moja kwa moja! Imani a biashara ni vitu tofauti!Yapi Merkezi is a huge company, wana uwezo wa kujenga hivyo vipande wakati wakiendelea na lot 1 & 2. Kumbuka kila lot ni project on its own na zinakuwa na resources zake tofauti.
Weka link tuone.kwa taarifa yako source ya kilichoandikwa Jamhuri walipata humu JF kuna mtu ali-post confidential letters! Na walichofanya ni kuweka ushabiki na kujifanya wameongea na Masanja Kadogosa hapo mwisho! Ndo maana magazeti haya yanafungiwa kila siku!
Unachosema ni sahihi Geza ..this thing has two sides..inawezekana hii habari kweli Wa China wanataka kutupiga au Yapi Pia wenyewe wanataka watupige..bora iwe competitve and fair..kama ni kuchagua mtu kwanini they lost lot 5Hawa Yapi Merkezi kama wako bomba mbona lot5 hawakupewa na JPM? competitive bidding is the only way kuepuka kupigwa! usiwaamini hawa Yapi Merkezi ni wapigaji nao kwanza wafanyakazi wao zaidi ya 700 wanatumia business visa na kukosesha mapato serikali!
watu hawaoni sijui kwann tuna tabia ya kutaka kupindisha sheria tulizoweka sisi wenyewe?Unachosema ni sahihi Geza ..this thing has two sides..inawezekana hii habari kweli Wa China wanataka kutupiga au Yapi Pia wenyewe wanataka watupige..bora iwe competitve and fair..kama ni kuchagua mtu kwanini they lost lot 5
Akipewa Yapi watu watakosa kula maana ni muendelezo ila ikiwa competitive bidding ziko companies nyuma ya ppra ambazo piga ua lazima zipate kwa hongo na watu wapige hela kwenye new tender hivyo competitive bidding kwa hii issue ni fursa nyingine ya upigaji ukizingatia alot of money is involved. Mbona wakati wa JPM Ppra hawakuwahi kuhoji Yapi merkez kupewa lot 2Unachosema ni sahihi Geza ..this thing has two sides..inawezekana hii habari kweli Wa China wanataka kutupiga au Yapi Pia wenyewe wanataka watupige..bora iwe competitve and fair..kama ni kuchagua mtu kwanini they lost lot 5