Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

sahani 1 mikono 10 lazima mgongane tuu
media haina msaada kama vitendo 0
 
Ndio mana tunaitaji kuendelea na yarp maerkez kwanza kazi yao ni bora na inaufwnisi ukiachia kuchelew...hawa wachina ni wahuni sana
Niliyasema haya hapo mwanzo kuwa kuna wapigaji wamejificha kwenye kichaka cha ppra lakini wengine wakaniona sifai competitive bidding itumike haya sasa tutayasikia mengi yetu macho.
 
Niliyasema haya hapo mwanzo kuwa kuna wapigaji wanejificha kwenye kichaka cha ppra lakini wengine wakaniona sifai competitive bidding itumike haya sasa tutayasikia mengi yetu macho.
Hawa Yapi Merkezi kama wako bomba mbona lot5 hawakupewa na JPM? competitive bidding is the only way kuepuka kupigwa! usiwaamini hawa Yapi Merkezi ni wapigaji nao kwanza wafanyakazi wao zaidi ya 700 wanatumia business visa na kukosesha mapato serikali!
 
Kukosea kuandika neno moja haliwezi kufuta seriously allegations zilizo tolewa
kwa taarifa yako source ya kilichoandikwa Jamhuri walipata humu JF kuna mtu ali-post confidential letters! Na walichofanya ni kuweka ushabiki na kujifanya wameongea na Masanja Kadogosa hapo mwisho! Ndo maana magazeti haya yanafungiwa kila siku!
 
Yapi Merkezi hana uwezo wa kujenga lot tatu (3 & 4 mpya na lot2 ikiendelea) kwa mkupuo na kukamilisha kwa wakati! An open bidding ni muhimu! Usijidanganye!
Yapi Merkezi is a huge company, wana uwezo wa kujenga hivyo vipande wakati wakiendelea na lot 1 & 2. Kumbuka kila lot ni project on its own na zinakuwa na resources zake tofauti.
 
Yapi Merkezi is a huge company, wana uwezo wa kujenga hivyo vipande wakati wakiendelea na lot 1 & 2. Kumbuka kila lot ni project on its own na zinakuwa na resources zake tofauti.
haya ngoja tuone mimi naomba fair procurement process maana najua kitakachoenda kutokea tukimpa Yapi Merkezi moja kwa moja! Imani a biashara ni vitu tofauti!
 
kwa taarifa yako source ya kilichoandikwa Jamhuri walipata humu JF kuna mtu ali-post confidential letters! Na walichofanya ni kuweka ushabiki na kujifanya wameongea na Masanja Kadogosa hapo mwisho! Ndo maana magazeti haya yanafungiwa kila siku!
Weka link tuone.
 
Weka link tuone.

On September 15th ilikuwa-posted na Simon gazeti la Jamhuri limeifanya habari 21st September!
kuna shida kubwa kwenye hii ishu ya Lot 3&4 SGR
more papers
2928202_IMG_1627.jpg

2928256_2928203_IMG_1629.jpg

huyu kadogosa ajiangalie.. kama ana support ya mama atabaki, otherwise atafekwa
2928226_IMG_1622.jpg

2928257_2928221_IMG_1625.jpg

2928222_IMG_1623.jpg

courtesy Simon
 
Hawa Yapi Merkezi kama wako bomba mbona lot5 hawakupewa na JPM? competitive bidding is the only way kuepuka kupigwa! usiwaamini hawa Yapi Merkezi ni wapigaji nao kwanza wafanyakazi wao zaidi ya 700 wanatumia business visa na kukosesha mapato serikali!
Unachosema ni sahihi Geza ..this thing has two sides..inawezekana hii habari kweli Wa China wanataka kutupiga au Yapi Pia wenyewe wanataka watupige..bora iwe competitve and fair..kama ni kuchagua mtu kwanini they lost lot 5
 
watu hawaoni sijui kwann tuna tabia ya kutaka kupindisha sheria tulizoweka sisi wenyewe?
 
Unachosema ni sahihi Geza ..this thing has two sides..inawezekana hii habari kweli Wa China wanataka kutupiga au Yapi Pia wenyewe wanataka watupige..bora iwe competitve and fair..kama ni kuchagua mtu kwanini they lost lot 5
Akipewa Yapi watu watakosa kula maana ni muendelezo ila ikiwa competitive bidding ziko companies nyuma ya ppra ambazo piga ua lazima zipate kwa hongo na watu wapige hela kwenye new tender hivyo competitive bidding kwa hii issue ni fursa nyingine ya upigaji ukizingatia alot of money is involved. Mbona wakati wa JPM Ppra hawakuwahi kuhoji Yapi merkez kupewa lot 2
 
Back
Top Bottom