Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

nani aliyekuambia kuwa Morogoro ni kitongoji duni..?
kwaakili yako yenye mwendo wa kobe unadhani abiria hawapo..?,pia unadhani morogoro hawahitaji malighafi za kibiashara zinazotoka dar?

na kwa akili yako ndogo unadhani reli ndiyo imeishia hapo au nikujitoa akili tu?[emoji23][emoji23][emoji23]

tafuta shughuli ya kufanya,kama kwenu SGR ni nairobi pekee,kwa Tz ni tofauti whole country inahitaji huduma ya reli
hajui Morogoro inawalisha na ina bus stand bora zaidi ya the whole of Kenya! ukiacha vyuo vikuu viwili!
 
nani aliyekuambia kuwa Morogoro ni kitongoji duni..?
kwaakili yako yenye mwendo wa kobe unadhani abiria hawapo..?,pia unadhani morogoro hawahitaji malighafi za kibiashara zinazotoka dar?

na kwa akili yako ndogo unadhani reli ndiyo imeishia hapo au nikujitoa akili tu?[emoji23][emoji23][emoji23]

tafuta shughuli ya kufanya,kama kwenu SGR ni nairobi pekee,kwa Tz ni tofauti whole country inahitaji huduma ya reli
Tanzania ni dar na dar ni Tanzania ukweli usemwe. Zaidi ya 70% ya mizigo inashushwa dar port inaishia dar. Rwanda ni economy ndogo sana, Hata reli ifike rwanda ni mizigo gani ya maana inaenda huko??
 
So hizo gari zote ni za Dar!! Sasa huwa mnakataa nn tunaposema Tz kuna gari nyingi mara mbili ya Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20211025-195157.jpg
Screenshot_20211025-195142.jpg
Screenshot_20211025-195051.jpg
 
Tanzania ni dar na dar ni Tanzania ukweli usemwe. Zaidi ya 70% ya mizigo inashushwa dar port inaishia dar. Rwanda ni economy ndogo sana, Hata reli ifike rwanda ni mizigo gani ya maana inaenda huko??
That figure is exaggeration Lake Victoria regions of Mwanza and Shinyanga contribute over 25% of the whole GDP aside Southern Highlands and Northern regions!

Screenshot 2021-10-25 191508.jpg

While u r trying hard to despise Rwanda, her delegation is in Dar for negotiations about joining the electrical SGR from Isaka to Kigali all the way to eastern DRC and Dar port's usage!

nani aliyekuambia kuwa Morogoro ni kitongoji duni..?
kwaakili yako yenye mwendo wa kobe unadhani abiria hawapo..?,pia unadhani morogoro hawahitaji malighafi za kibiashara zinazotoka dar?

na kwa akili yako ndogo unadhani reli ndiyo imeishia hapo au nikujitoa akili tu?[emoji23][emoji23][emoji23]

tafuta shughuli ya kufanya,kama kwenu SGR ni nairobi pekee,kwa Tz ni tofauti whole country inahitaji huduma ya reli
Morogoro ni kitongoji duni kabisa hakuna abiria wala mizigo za kujustify ujenzi wa sgr. Alafu sgr ya danganyika haijaunganishwa direct na port kwa hiyo mizigo yake itakua na gharama za kushusha na kupakia Mara mbili kwa dry port ruvu. Pia itaadhiri efficiency ya reli.
Reli ya Kenya upande huu mwingine, mzigo unashushwa kwa meli hadi juu ya sgr direct kama umeletwa Nairobi au Naivasha.
 
Nyang'au wivu utawauwa.
 
Tanzania ni dar na dar ni Tanzania ukweli usemwe. Zaidi ya 70% ya mizigo inashushwa dar port inaishia dar. Rwanda ni economy ndogo sana, Hata reli ifike rwanda ni mizigo gani ya maana inaenda huko??
huwa tunasafirishaga mizigo hewa pia huwa tunawapelekea upepo na majani ya mti wakongo,uganda,rwanda,burundi,malawi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata unachoongea hujielewi we kweli kichwa box we bonge la pimbi
yaani unauliza ni mizigo gani ya maana inayoenda mikoani na out of Tz

IMG_20211025_214447.jpg
 
That figure is exaggeration Lake Victoria regions of Mwanza and Shinyanga contribute over 25% of the whole GDP aside Southern Highlands and Northern regions!

View attachment 1986698

While u r trying hard to despise Rwanda, her delegation is in Dar for negotiations about joining the electrical SGR from Isaka to Kigali all the way to eastern DRC and Dar port's usage!

umemaliza kondoo wa kikenya hata hajielewi huyo anachoongea
 
Morogoro ni kitongoji duni kabisa hakuna abiria wala mizigo za kujustify ujenzi wa sgr. Alafu sgr ya danganyika haijaunganishwa direct na port kwa hiyo mizigo yake itakua na gharama za kushusha na kupakia Mara mbili kwa dry port ruvu. Pia itaadhiri efficiency ya reli.
Reli ya Kenya upande huu mwingine, mzigo unashushwa kwa meli hadi juu ya sgr direct kama umeletwa Nairobi au Naivasha.
aliyekuambia kuwa Tz inategemea SGR pekee ni nani..?

kuna reli ya zamani ipo hiyo inapiga kazi kama kawaida pia sgr nayo itaunganishwa mpaka port.

rudi shule unaropoka kwa vitu usivyovijua[emoji23]
 
Kwn bado kuna ubishani kuhusu SGR Tz na Kenya?
 
aliyekuambia kuwa Tz inategemea SGR pekee ni nani..?

kuna reli ya zamani ipo hiyo inapiga kazi kama kawaida pia sgr nayo itaunganishwa mpaka port.

rudi shule unaropoka kwa vitu usivyovijua[emoji23]
SGR ya danganyika haijaunganishwa na port
 
Back
Top Bottom