Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #12,981
hajui Morogoro inawalisha na ina bus stand bora zaidi ya the whole of Kenya! ukiacha vyuo vikuu viwili!nani aliyekuambia kuwa Morogoro ni kitongoji duni..?
kwaakili yako yenye mwendo wa kobe unadhani abiria hawapo..?,pia unadhani morogoro hawahitaji malighafi za kibiashara zinazotoka dar?
na kwa akili yako ndogo unadhani reli ndiyo imeishia hapo au nikujitoa akili tu?[emoji23][emoji23][emoji23]
tafuta shughuli ya kufanya,kama kwenu SGR ni nairobi pekee,kwa Tz ni tofauti whole country inahitaji huduma ya reli
Tanzania ni dar na dar ni Tanzania ukweli usemwe. Zaidi ya 70% ya mizigo inashushwa dar port inaishia dar. Rwanda ni economy ndogo sana, Hata reli ifike rwanda ni mizigo gani ya maana inaenda huko??nani aliyekuambia kuwa Morogoro ni kitongoji duni..?
kwaakili yako yenye mwendo wa kobe unadhani abiria hawapo..?,pia unadhani morogoro hawahitaji malighafi za kibiashara zinazotoka dar?
na kwa akili yako ndogo unadhani reli ndiyo imeishia hapo au nikujitoa akili tu?[emoji23][emoji23][emoji23]
tafuta shughuli ya kufanya,kama kwenu SGR ni nairobi pekee,kwa Tz ni tofauti whole country inahitaji huduma ya reli
So hizo gari zote ni za Dar!! Sasa huwa mnakataa nn tunaposema Tz kuna gari nyingi mara mbili ya Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tanzania ni dar na dar ni Tanzania ukweli usemwe. Zaidi ya 70% ya mizigo inashushwa dar port inaishia dar. Rwanda ni economy ndogo sana, Hata reli ifike rwanda ni mizigo gani ya maana inaenda huko??
That figure is exaggeration Lake Victoria regions of Mwanza and Shinyanga contribute over 25% of the whole GDP aside Southern Highlands and Northern regions!Tanzania ni dar na dar ni Tanzania ukweli usemwe. Zaidi ya 70% ya mizigo inashushwa dar port inaishia dar. Rwanda ni economy ndogo sana, Hata reli ifike rwanda ni mizigo gani ya maana inaenda huko??
Daaah[emoji1]Mjadala UMEKWISHA!
Tanzania (Metre Gauge) Locomotives
Kenya SGR Locomotives VS Tanzania (Metre Gauge) Locomotives
View attachment 1958532
cc: Geza Ulole coodip1 The best 007 WAKUDAMSH
huyo jamaa nikichaahajui Morogoro inawalisha na ina bus stand bora zaidi ya the whole of Kenya! ukiacha vyuo vikuu viwili!
Morogoro ni kitongoji duni kabisa hakuna abiria wala mizigo za kujustify ujenzi wa sgr. Alafu sgr ya danganyika haijaunganishwa direct na port kwa hiyo mizigo yake itakua na gharama za kushusha na kupakia Mara mbili kwa dry port ruvu. Pia itaadhiri efficiency ya reli.nani aliyekuambia kuwa Morogoro ni kitongoji duni..?
kwaakili yako yenye mwendo wa kobe unadhani abiria hawapo..?,pia unadhani morogoro hawahitaji malighafi za kibiashara zinazotoka dar?
na kwa akili yako ndogo unadhani reli ndiyo imeishia hapo au nikujitoa akili tu?[emoji23][emoji23][emoji23]
tafuta shughuli ya kufanya,kama kwenu SGR ni nairobi pekee,kwa Tz ni tofauti whole country inahitaji huduma ya reli
Nyang'au wivu utawauwa.Morogoro ni kitongoji duni kabisa hakuna abiria wala mizigo za kujustify ujenzi wa sgr. Alafu sgr ya danganyika haijaunganishwa direct na port kwa hiyo mizigo yake itakua na gharama za kushusha na kupakia Mara mbili kwa dry port ruvu. Pia itaadhiri efficiency ya reli.
Reli ya Kenya upande huu mwingine, mzigo unashushwa kwa meli hadi juu ya sgr direct kama umeletwa Nairobi au Naivasha.
huwa tunasafirishaga mizigo hewa pia huwa tunawapelekea upepo na majani ya mti wakongo,uganda,rwanda,burundi,malawiTanzania ni dar na dar ni Tanzania ukweli usemwe. Zaidi ya 70% ya mizigo inashushwa dar port inaishia dar. Rwanda ni economy ndogo sana, Hata reli ifike rwanda ni mizigo gani ya maana inaenda huko??
umemaliza kondoo wa kikenya hata hajielewi huyo anachoongeaThat figure is exaggeration Lake Victoria regions of Mwanza and Shinyanga contribute over 25% of the whole GDP aside Southern Highlands and Northern regions!
View attachment 1986698
While u r trying hard to despise Rwanda, her delegation is in Dar for negotiations about joining the electrical SGR from Isaka to Kigali all the way to eastern DRC and Dar port's usage!
aliyekuambia kuwa Tz inategemea SGR pekee ni nani..?Morogoro ni kitongoji duni kabisa hakuna abiria wala mizigo za kujustify ujenzi wa sgr. Alafu sgr ya danganyika haijaunganishwa direct na port kwa hiyo mizigo yake itakua na gharama za kushusha na kupakia Mara mbili kwa dry port ruvu. Pia itaadhiri efficiency ya reli.
Reli ya Kenya upande huu mwingine, mzigo unashushwa kwa meli hadi juu ya sgr direct kama umeletwa Nairobi au Naivasha.
Kwn bado kuna ubishani kuhusu SGR Tz na Kenya?Morogoro ni kitongoji duni kabisa hakuna abiria wala mizigo za kujustify ujenzi wa sgr. Alafu sgr ya danganyika haijaunganishwa direct na port kwa hiyo mizigo yake itakua na gharama za kushusha na kupakia Mara mbili kwa dry port ruvu. Pia itaadhiri efficiency ya reli.
Reli ya Kenya upande huu mwingine, mzigo unashushwa kwa meli hadi juu ya sgr direct kama umeletwa Nairobi au Naivasha.
Wewe mdanganyika huo unaitwa ukweli sio wivu.Nyang'au wivu utawauwa.
SGR ya danganyika haijaunganishwa na portaliyekuambia kuwa Tz inategemea SGR pekee ni nani..?
kuna reli ya zamani ipo hiyo inapiga kazi kama kawaida pia sgr nayo itaunganishwa mpaka port.
rudi shule unaropoka kwa vitu usivyovijua[emoji23]
Wewe hukua na IQ ndogo hakuna haja ya kubishana na weweKwn bado kuna ubishani kuhusu SGR Tz na Kenya?
Nyang'au wivu utawauwa.Wewe mdanganyika huo unaitwa ukweli sio wivu.
Wadanganyika ujinga utawaua kama jpmNyang'au wivu utawauwa.
Nyang'au ni nyang'au tu.Wadanganyika ujinga utawaua kama jpm
kwani ujenzi wa SGR umeisha?SGR ya danganyika haijaunganishwa na port