Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Barabara tu ya kutoka Moshi to Arusha inanjengwa kwa m8aka miwili. Je? Reli ya kutoka Dar to Moro km 200 itachukuwa muda gani.? 2017 hadi 2019. Bado vituo na Umeme
Yeye anadhani tunajenga charcoal railway kama yao iliyojengwa kwa miaka miwili, wanapoteza pesa nyingi kujenga railway ya karne ya 10, c bora wangetupa tender cc tuwajengee, hiyo reli yao inajengwa vzr tu na SUMA JKT.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…