SGR na treni ni vitu viwili tofauti sana mzee[emoji1787][emoji1787]Eti wanaita mchina ajenge charcoal SGR, ss c ni bora wangetuomba tuwape Suma JKT wangeokoa pesa nyingi.
Yani jamaa mwupe kichwani, hyo ndio wale zero brain hko bongoHakuna reli ya umeme (unless tunaongelea Maglev ambayo haipo Africa for now). Treni ndio ya umeme. Treni ya umeme inaweza wekwa Kwa reli yoyote including hiyo MGR yenu. Ni nini unatufundisha kama huelewi jambo la msingi kama hilo?
Treni la umeme linapita katika reli yoyote ile mzee acha ushamba..Hiyo treni ya umeme inapita juu ya gogo au, by the way nyie ni washamba hamjawahi kuwa na electrified SGR ona hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2028563
My Take
Kenya mta electrify reli yenu miaka 7000 ijayo.
Hahaha!!bado una yale yale ya jana..we jamaa mshamba sana walaiHiyo treni ya umeme inapita juu ya gogo au, by the way nyie ni washamba hamjawahi kuwa na electrified SGR ona hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2028563
My Take
Kenya mta electrify reli yenu miaka 7000 ijayo.
Sema tu electrification of tz SGR, hapo kuna uzito gani mzeeUnaweza kunipa maana ya "ku electrify SGR?"
Unaumwaje na kitu ambacho si chako? Yani mtu ambaye hajawahi kuona electrical SGR anamfundisha mtu ambaye kwao ipo.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sema tu electrification of tz SGR, hapo kuna uzito gani mzee
niumwe kisa utahira wakoeeUnaumwaje na kitu ambacho si chako? Yani mtu ambaye hajawahi kuona electrical SGR anamfundisha mtu ambaye kwao ipo.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mali yetu cc wewe uipe jina kama co uchoko nini? Wewe iite Electrification SGR mm nitaiita electrical SGR [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]niumwe kisa utahira wakoee
Mamaaee naona mpka umeanza kujitia utahira, unatia huruma mazeeMali yetu cc wewe uipe jina kama co uchoko nini? Wewe iite Electrification SGR mm nitaiita electrical SGR [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Meli imeshafika inasubiria kuingia port tuuWaziri kadanganya, hooo tren itakuja mwezi huu November na sasa ni December 3. Mbona atujaziina hizo tren? Au meli amekwama njiani au? OK.. COVID19 mama mamaaaa kizusi kipya ndio maana