Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Eti wanaita mchina ajenge charcoal SGR, ss c ni bora wangetuomba tuwape Suma JKT wangeokoa pesa nyingi.
SGR na treni ni vitu viwili tofauti sana mzee[emoji1787][emoji1787]
Naona unaota walai, manake sio kw kuchanganya ma file..napna bado somo la jana halijakuingia vyema ...
 
Hakuna reli ya umeme (unless tunaongelea Maglev ambayo haipo Africa for now). Treni ndio ya umeme. Treni ya umeme inaweza wekwa Kwa reli yoyote including hiyo MGR yenu. Ni nini unatufundisha kama huelewi jambo la msingi kama hilo?
Yani jamaa mwupe kichwani, hyo ndio wale zero brain hko bongo
 
Hiyo treni ya umeme inapita juu ya gogo au, by the way nyie ni washamba hamjawahi kuwa na electrified SGR ona hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2028563

My Take

Kenya mta electrify reli yenu miaka 7000 ijayo.
Treni la umeme linapita katika reli yoyote ile mzee acha ushamba..
Hata MGR za umeme zinapita
 
Hiyo treni ya umeme inapita juu ya gogo au, by the way nyie ni washamba hamjawahi kuwa na electrified SGR ona hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2028563

My Take

Kenya mta electrify reli yenu miaka 7000 ijayo.
Hahaha!!bado una yale yale ya jana..we jamaa mshamba sana walai
 
Sema tu electrification of tz SGR, hapo kuna uzito gani mzee
Unaumwaje na kitu ambacho si chako? Yani mtu ambaye hajawahi kuona electrical SGR anamfundisha mtu ambaye kwao ipo.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Unaumwaje na kitu ambacho si chako? Yani mtu ambaye hajawahi kuona electrical SGR anamfundisha mtu ambaye kwao ipo.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
niumwe kisa utahira wakoee
 
.
FB_IMG_1638462068214.jpg
 
Waziri kadanganya, hooo tren itakuja mwezi huu November na sasa ni December 3. Mbona atujaziina hizo tren? Au meli amekwama njiani au? OK.. COVID19 mama mamaaaa kizusi kipya ndio maana
 
FB_IMG_16385394308360366.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_16385394207080670.jpg
    FB_IMG_16385394207080670.jpg
    22.5 KB · Views: 3
  • FB_IMG_16385394421485094.jpg
    FB_IMG_16385394421485094.jpg
    25.5 KB · Views: 4
Back
Top Bottom