Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Yani esigiara ya dangagiza 150km bado haijaisha 5 years tangu ianze.
can show marshalling yard ya Reli ya Kenya?

SGR ya Tanzania kwa Standard za Kenya ingekuwa imeisha miaka 3 nyuma, cause Kenya mko na Reli tu yaani (Track road).

Ila Tanzania wako na Electric power lines, Control centers and control systems ambazo Kenya hawajui lini watakuwa nao, inshort SGR ya Tanzania haina tofauti na SGR zilizopo Europe wakati Reli ya Kenya ni Sawa na MGR iliyopo pamoja na ile ya Tazara tu
 
Punguza bangi men
 
Hawapendi kusikia habari hizo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23]kojoa ulale
 
Mimi nimekupa control center ya Kenya SGR ndio hii hapa. Nionyeshe ya Tanzania tufunge mjadala.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

ngoja niaandike haya maneno afu niyakariri afu tukipata picha za control center in time nitakuquote tena.. usifute acc lkn!
control center
Ndio nimekuuliza, tuonyeshe control center yenu. Ni kusoma hujui ama ni kuelewa huelewi? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Mimi nimekupa control center ya Kenya SGR ndio hii hapa. Nionyeshe ya Tanzania tufunge mjadala.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

View attachment 2057565

View attachment 2057566
1. It is hard to tell kama picha ya kwanza na ya pili zina relate cause picha ya kwanza kutoka ukutani na Hadi computer ya kwanza ni tofauti also aina ya viti ni tofauti sana, pia picha ya kwanza ni wachina watupu na ya pili ni kama kadarasa...
 
They are two different pictures. What's your point?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ