Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Mbona pananikalia pakawaida sana. I don't see the fuss.[emoji706][emoji706]
Hapa pa kawaida au sio [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-571630931.jpg
JamiiForums1871682699.jpg
JamiiForums-1274133667.jpg
JamiiForums1829398628.jpg
JamiiForums716715328.jpg
IMG_20211223_181758_763.jpg
IMG_20211223_181857_581.jpg
IMG_20211223_181658_753.jpg
 
Yani esigiara ya dangagiza 150km bado haijaisha 5 years tangu ianze.
can show marshalling yard ya Reli ya Kenya?

SGR ya Tanzania kwa Standard za Kenya ingekuwa imeisha miaka 3 nyuma, cause Kenya mko na Reli tu yaani (Track road).

Ila Tanzania wako na Electric power lines, Control centers and control systems ambazo Kenya hawajui lini watakuwa nao, inshort SGR ya Tanzania haina tofauti na SGR zilizopo Europe wakati Reli ya Kenya ni Sawa na MGR iliyopo pamoja na ile ya Tazara tu
 
Punguza bangi men
 
Hawapendi kusikia habari hizo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
can show marshalling yard ya Reli ya Kenya?

SGR ya Tanzania kwa Standard za Kenya ingekuwa imeisha miaka 3 nyuma, cause Kenya mko na Reli tu yaani (Track road).

Ila Tanzania wako na Electric power lines, Control centers and control systems ambazo Kenya hawajui lini watakuwa nao, inshort SGR ya Tanzania haina tofauti na SGR zilizopo Europe wakati Reli ya Kenya ni Sawa na MGR iliyopo pamoja na ile ya Tazara tu
[emoji23][emoji23]kojoa ulale
 
Mimi nimekupa control center ya Kenya SGR ndio hii hapa. Nionyeshe ya Tanzania tufunge mjadala.😂😂😂

1.jpg

1.jpg
 
ngoja niaandike haya maneno afu niyakariri afu tukipata picha za control center in time nitakuquote tena.. usifute acc lkn!
control center
Ndio nimekuuliza, tuonyeshe control center yenu. Ni kusoma hujui ama ni kuelewa huelewi? 🤣🤣🤣
 
Mimi nimekupa control center ya Kenya SGR ndio hii hapa. Nionyeshe ya Tanzania tufunge mjadala.😂😂😂

View attachment 2057565

View attachment 2057566
1. It is hard to tell kama picha ya kwanza na ya pili zina relate cause picha ya kwanza kutoka ukutani na Hadi computer ya kwanza ni tofauti also aina ya viti ni tofauti sana, pia picha ya kwanza ni wachina watupu na ya pili ni kama kadarasa...
 
They are two different pictures. What's your point?
 
Back
Top Bottom