Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

We all know your port is twice smaller than ours [emoji1787][emoji847]
Msa port haina uwezo wa kuhudumia meli 36 Kwa wiki. Huu ni uongo wa mchana kweupee..

Weka shots hapa ya vessel schedule tuone berth time inachukua muda gani.. Tuone avarage time ya loading and offloading hadi muweze kufikia hapo.

Labda kama meli zinapita tu hapo bila kushusha au kuchukua chochote.
 
Yani bandari babkubwa ya 22 Berths ishindwe kupokea meli 36 Kwa wiki moja?
Nikiuekea ushahidi wa idadi ya meli bandarini sahii utafanya nini, ama ni kurusha mdomo Tu?
 
Wacha maneno weka ushahidi hapa tuona mnaweza vipi kuhudumia meli 36 Kwa wiki. Kwa automation ipi hapo msa ambayo Dar itashindwa? Na weka hapa hizo 22 berth ambazo ni operational

See the traffic Young man... Ndio ujue wapi wako busy.

Screenshot_20220129_163708.jpg
 
Wacha maneno weka ushahidi hapa tuona mnaweza vipi kuhudumia meli 36 Kwa wiki. Kwa automation ipi hapo msa ambayo Dar itashindwa? Na weka hapa hizo 22 berth ambazo ni operational

See the traffic Young man... Ndio ujue wapi wako busy.

View attachment 2099724
Dar port received 1407 ships in 2020, Mombasa 1,675 in 2019.

1643464294924.png

1643464387941.png
 
Wakenya na manipulation of data.. Haha

Hebu kwanza niambie mko wakenya wangapi.. Ndio tuanze kuongelea credibility ya hizi data zenu.

Hiyo rekodi ya meli zilizo dock Dar umepata wapi?
Huwa mkilemewa lazima mkuwe excuses, go to Tanzania Bureau of statistics you will get everything there.
 
Mara ya mwisho imekuwa updated lini hiyo website? Screenshot the page please.

Na usisahau.. Nipe data wakenya mko wangapi?
 
Population ya Kenya itakusaidia na nini?

Data zote za Tz ziko kwa hii link.

Starting from only
9,000km of paved road
28% ELECTRICITY CONNECTIVITY
2.5M number of passengers served by JNIA

Wewe kichwa chako kama jiwe la mtoni tu. Hata likae ndani ya maji miaka karne bado ukipasua ndani ni kavu kabisa.
 
After kukupea facts an evidences umeanza hasira sasa, typical Tanzanian indeed🤣🤣🤣
 
After kukupea facts an evidences umeanza hasira sasa, typical Tanzanian indeed[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Facts na evidence? Where is the evidence.. Japo ume derail from your own topic kuhusu idadi ya vessels at msa Port.. Bado sijaona chochote..

Nenda tafuta chakula ule..
 
Here is the evidence, directly from the Tanzania Bureau of Statistics.

1643467912809.png
 
Wewe kichwa chako kama jiwe la mtoni tu. Hata likae ndani ya maji miaka karne bado ukipasua ndani ni kavu kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jiwe la mtoni[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom