Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

mim nadhan mikataba halisi ni hii miwili tu.. moja ni ule wa Hyundai Rotem na pili ni huu wa wachina CRRC.. yale maneno ya Dr Abas yalikuwa ni speculation tu (siasa).. yan badala ya kusema tunatazamia kupata mabehewa flan na flan, wao walikuwa wanasema tumesaini na kuagiza mabehewa flan na flan (kumbe hamna mkataba wowote). Tanzania hatujawah kuorder kitu bila kutaarifiwa au kuonyesha tukio la kusaini mkataba hata kwa picha au video, otherwise watakuwa wamefanya ufisadi

So nataka kusema yale maneno ya Dr Abas sijui na Msigwa hayakuwa ya kweli, hawakusaini mkataba. So mabehewa na vichwa tutakavyopata ni kutokana na hii mikataba miwili.. wa wachina CRRC na wa wakorea Hyundai
 
Dah! Nikisika wachina nahisi tumbo la kuharisha haki ya Nani😩
 



MY TAKE
Hivi behewa za SGR Kenya zili-cost ngapi per unit??
 


  • Mabehewa 22 ya MGR yanatarajiwa kuanzia sasa mpaka June
  • Kichwa cha umeme cha Mkandarasi cha majaribio kinaingia wiki ijayo
  • Reli yetu ya SGR itakuwa na vichwa vya umeme na diesel pia
  • Vyanzo vitatu vya umeme vya kidatu, kinyerezi na Mwal nyerere vitatumika kuendesha electric trains
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…