Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Mbona kama vile nguzo afya zake ni mgogoro tupu😉😉
mwenye wivu hakosi kuona doa kama kawa, CCCC ndo wamejenga reli nyigi sana kule china, kama hii hapa ya chengdu-chongqi High speed railway ambayo train zinasonga kwa 350km/hr!, nguzo ni hizo hizo




Hii nayo Xi'an-Baoji HSL inayosonga 300km/hr nguzo ni hizo hizo, kampuni iliojenga ni hiyo hiyo

 
Hakuna wivu bora salama,maana wanaitwa chineese
 
Nyinyi watu lisheni wasiojiweza, pelekeni watoto shule, jenga mahospitali, ongeza viwanda na kadhalika. Hivyo ndivyo nchi masikini hujikwamua kutoka kwa lindi la umasikini. Ukiwa masikini na uamue kutumia mshahara wako wote kulipa rent basi utakufa njaa. Hivyo ndivyo sector zingine za T.Z zitawachwa nyuma eti kwa sababu serikali yenu inataka kuringa eti mna reli ya umeme.
 
Kwa wale wote waliokiri reli ya Kenya haina uwezo wa kubeba double stacked containers CC: akina mkikuyu ali timamu, geza ulole, aneal... and co.

Eat your own matapishi!
A first in Africa, double stacked containers on a wagon.
 
For those who don't know Loiyangalani, its in Turkana, where the 310MW turkana wind firm is located, The transmission line will originate from there then at Suswa, there will be a substation where the SGR will get its power from...
Niliskia juzi Watz wakijisifu kwamba system ya stima yao itakua installed na mjerumani, Hii system ya LTWP inatumia technolojia ya siemens ambayo ni kampuni ya kuaminika zaidi ya kijerumani.


LTWP








Transmission line bado ndo inaendelea kuwekwa











 
Yote ya yote reli ya kenya ni upuuz mtupu,80km/sini-uchafu huu A TORTOISE
Hivi unajua average waiting time ya kontena kushukishwa kwa meli hadi inapotoka kwa bandari kenya ni 4days wakati Tanzania ni 7 days. Hata muwe na treni ya speed ya 500km/hr, you’ll still be 2 days behind even before you load your containers on the SGR.
 
Nani amekuambia!!!? Pia Dar port sku hizi imeboreshwa sana na speed ya kupakua containers imeongeza mara dufu sichin ya sku 4..Lakini hongeren kuhusu uwezo wa sgr yenu kubeba Double stack container...Lakn kumbukeni pia ya kwetu inatakuwa na uwezo huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…