Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Sasa kama tuko na madaraja mara nne kushinda kwenu na matuta ya urefu wa mara tatu kushinda yenu, what do you expect?

Hii hapa screenshot kutoka SGR Uganda report to parliament ikieleza cost ya SGR Uganda

View attachment 2123145


35% ya garama ya SGR Uganda ilikua inaenda kwa ujenzi wa Madaraja, na 25% ni earth works ambayo ni ujenzi wa matuta(35% +25% = 60%).... sasa kumbuka Kenya ina madajara yenye urefu zaidi kuliko Uganda.

Kwa mfano,kwenye phase II Nairobi-Naivasha SGR , Zaidi ya nusu billion usd (over $500 million) imepotea kwenye ujenzi na fidia kwa KWS kwa daraja/viaduct la 6,000m juu ya Nairobi National Park. Hio ni 30% ya garama yote ya phase II imepotea kwenye 6km ya route length.
stop being naive comparing Uganda where Nile river passes to Kunyaland!
 



FL8CWiVX0AkMWlo



MY TAKE
Ukiona donor country anachungulia namna hii Chancellor Scholz what will someone in Kunyaland feel about SGR chances to reach Rwanda?

CC: Tony254 nairobae NairobiWalker KANAIRO Teargas Kafrican
 
Back
Top Bottom