Masikini Mungu atusaidie sisi Waafrika. Bado tuna safari ndefu.
Sema Nigeria na kunyaland na si Africa!Masikini Mungu atusaidie sisi Waafrika. Bado tuna safari ndefu.
Kwani mzungu wa marekani hakosei??Huwa hampendi kuambiwa ukweli. Hata mzungu kutoka Marekani anawaambia ukweli ambao sisi huwa tunawaambia kila siku halafu mnamtukana?
Huyo ni Mkunya baba!Kwani mzungu wa marekani hakosei??
Hayo ni mawazo ya Kikoloni achana nayo yamepitwa na wakati kama hata USA kulikuwa na raisi mweusi
Hii habari iwafikie nyang'au popote pale walipo.
safi sana rafiki lets keep the thread moving forward! Mama Samia ajaribu kwenda Uturuki na kukaribisha makampuni ya Kituruki kuja kuwekeza kama alivyofanya katika ziara yake ya Egypt!