Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Masikini Mungu atusaidie sisi Waafrika. Bado tuna safari ndefu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema Nigeria na kunyaland na si Africa!Masikini Mungu atusaidie sisi Waafrika. Bado tuna safari ndefu.
Kwani mzungu wa marekani hakosei??Huwa hampendi kuambiwa ukweli. Hata mzungu kutoka Marekani anawaambia ukweli ambao sisi huwa tunawaambia kila siku halafu mnamtukana?
Huyo ni Mkunya baba!Kwani mzungu wa marekani hakosei??
Hayo ni mawazo ya Kikoloni achana nayo yamepitwa na wakati kama hata USA kulikuwa na raisi mweusi