Haujawahi kugundua watanzania ndio wanafik number 1. Kwa miaka mingi sana wamekua wakituringia kua nchi Yao inapata uwekezo mwingi zaidi FDI kutoka Kwa hao wazungu, Lakini pale tunapoanza kupata uwekezo mwingi zaidi washageuza story tumekua vibaraka vya wazungu 🤦🏾♂️ na ukiangalia takwimu, Mwekezaji makubwa Tanzania kutoka nje ya bara ni huyohuyo mwingereza akishindana na CanadaEacop, sgr, bagamoyo etc zikijengwa na beberu danganyika ni maendeleo lakini railway station ikijengwa Kenya na Queen sisi ni vijimbwa wa waingereza? Itakua wewe ndio jimbwa hypocrite
Citizens are poor they go without food, most of them live in slums cant afford decent housing unemployment rate is spiralling out of control who will occupy all those buildings unless you are very fond of white elephants. Jengeni uchumi imara kwanza kwa kuwekeza kwenye productive sectors za economy ili muweze ku alleviate many of your poor citizens out of abject poverty kinyume chake wasomali, other foreigners na multinationals offices ndio zitakaa humo while majority of Kenyans live in slums. Hili ni bomu mnalotengeneza la social classes either knowingly or unknowingly.FYI hii sio Ile stesheni ya SGR, hii ni reli tofauti kabisaa, hii ni stesheni ya Nairobi Commuter Railway ambayo itageuzwa iwe railway city, Yani hekari 400 katikati ya mji wa nairobi zitakua na majumba marefu ya ofisi, hoteli, shopping malls, residential areas alafu hapo katikati ya hii new railway city itakua ni hio stesheni
Hayo majengo yote hapo kwenye green ndo hio planned railway city, alafu hapo katikati ndo hio stesheni mpya ya reli itajengwa
View attachment 2232051
cc
babayao255
coodip1
Mkwanzania
ndughuri msuya
NDINDA
Nairobi is gonna have a huge CBDPunguza inferiority complex...
Muingereza anajenga stesheni, project yenyewe ni ya kujenga mji mzima wenye majumba mengi sana..... hii project ni PPP, kila mtu anaweza kuwekeza pale anapotaka , Kwa mfano ujenzi wa reli itakayofika hapo Kwa hio stesheni utafanywa na mfaransa... Mchina naye anataka kujenga Yale majumba marefu yatakayotumika kama ofisi, hoteli, apartments etc, Kuna project ya BRT pia imo humo ndani .. etc
It's a whole Mini-city, we ushakwama Kwa stesheni moja tu inayojengwa na Muingereza
View attachment 2232631
🤦🏾♂️🤦🏾♂️ Kettle calling the pot black. Hivi unajua Tanzania ina maskini wengi kuliko Kenya? Tatueni huko kwenu Kwanza kabla uje kupiga lecture jiraniCitizens are poor they go without food, most of them live in slums cant afford decent housing unemployment rate is spiralling out of control who will occupy all those buildings unless you are very fond of white elephants. Jengeni uchumi imara kwanza kwa kuwekeza kwenye productive sectors za economy ili muweze ku alleviate many of your poor citizens out of abject poverty kinyume chake wasomali, other foreigners na multinationals offices ndio zitakaa humo while majority of Kenyans live in slums. Hili ni bomu mnalotengeneza la social classes either knowingly or unknowingly.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hako kamtu kanakuanga clueless sana, reasoning yake banaPunguza inferiority complex...
Muingereza anajenga stesheni, project yenyewe ni ya kujenga mji mzima wenye majumba mengi sana..... hii project ni PPP, kila mtu anaweza kuwekeza pale anapotaka , Kwa mfano ujenzi wa reli itakayofika hapo Kwa hio stesheni utafanywa na mfaransa... Mchina naye anataka kujenga Yale majumba marefu yatakayotumika kama ofisi, hoteli, apartments etc, Kuna project ya BRT pia imo humo ndani .. etc
It's a whole Mini-city, we ushakwama Kwa stesheni moja tu inayojengwa na Muingereza
View attachment 2232631
Sisi hatufi njaa kama nyie tunakaa kwenye dream houses sio slums tunakula fresh organic food unatoa wapi ujasiri wa kutuita masikini?[emoji2365][emoji2365] Kettle calling the pot black. Hivi unajua Tanzania ina maskini wengi kuliko Kenya? Tatueni huko kwenu Kwanza kabla uje kupiga lecture jirani
Dar-is-slum ndo kuna dream houses 🤣🤣🤣🙈 we enda ukapimwe akili hospitali uje uchapishe majibu hapaSisi hatufi njaa kama nyie tunakaa kwenye dream houses sio slums tunakula fresh organic food unatoa wapi ujasiri wa kutuita masikini?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Siku zote mtu ambaye hajui analosema atajikuta anaropokwa vituko!Halafu anatokea mjinga mmoja anasema reli yao capacity yake ni kubwa kuliko eco friendly electric sgr ambayo inavuta behewa zaidi ya 100 at 120kph
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwani mimi nimesema containers au TEU i explicitly said behewa a swahili word for wagon. Sasa fanya hesabu za wagons/behewa nilizokuambia zidisha mara 2 upate idadi ya TEUSiku zote mtu ambaye hajui analosema atajikuta anaropokwa vituko!
First of all, Kuna tofauti Kati ya Wagon na container...
Flat-bed wagon ya x-70 tunazotumia moja inabeba contena mbili za 20ft kwahivyo 56 wagons ni 112 TEU containers.
ukiangalia vizuri hapo kwa picha utaona kila wagon nyeupe iko na kontena mbili za 20ft
View attachment 2233950
Alafu zile double stack wagons zina uwezo wa kubeba 4 TEU containers Kwa kila wagon, kwahivyo 56 wagons za double stack ziko na 224 containers...
View attachment 2233968
Alafu, uwezo wa kubeba kontena nyingi Kwa mpigo sio kigezo pekee cha kupima carrying capacity ya reli ....
Reli ya Tanzania ime-designiwa iwe na uwezo wa kubeba mzigo mkubwa Kwa mpigo sababu lengo lenu haswaa ni kubeba heavy metals za raw unprocessed mineral extracts... Lakini hii design yenu imewekwa kwamba iwe kuna safari chache za reli Kati ya point A to point B.... Yani frequency ya scheduled train dispatch iko chini kabisa... Utakua Kwa siku kuna kama safari nane za mizigo (ukijumlisha kwenda na kurudi) za reli za mpigo pekee.
Wakati reli ya Kenya imelenga haswaa kubeba makontena na mizigo miengine ambayo si mizito kama vile malighafi na madini... Huku kila saa treni inatoka na mizigo michache kidogo compared to tz lakini at high frequency , Kwa mfano Kati ya Msa-Nairobi kila baada ya kilomita 14 kuna stesheni ya treni kupishana manake ziko nyingi mno humo njiani unlike Tz ambapo sehemu za treni kutoka upande mmoja kupishana na treni inayoenda upande mwengine ni chache sana.. , Kenya kila siku kuna safari 28 za reli ( ukijumlisha kwenda na kurudi)
Hii higher train dispatch frequency yetu na wingi wa sehemu za reli kupishana ndo inafanya capacity ya reli yetu ya Kenya iwe juu kuliko yenu ya Tanzania!
Usizungumze vitu bila facts Tz SGR ina njia za kupishana nyingi sana kuliko Kenya sgr. Imagine kipande cha Dar Moro 190km imejengwa reli ya 300km hapo unapata 110km za kupishana. Sasa twende kipande cha Mombasa Nairobi mainline km 480 but reli imejengwa km580 njia ya kupishana Kenya ni 100km tuu embu kama unajua hesabu piga uone mwenyewe nani ana njia nyingi za kupishana.Siku zote mtu ambaye hajui analosema atajikuta anaropokwa vituko!
First of all, Kuna tofauti Kati ya Wagon na container...
Flat-bed wagon ya x-70 tunazotumia moja inabeba contena mbili za 20ft kwahivyo 56 wagons ni 112 TEU containers.
ukiangalia vizuri hapo kwa picha utaona kila wagon nyeupe iko na kontena mbili za 20ft
View attachment 2233950
Alafu zile double stack wagons zina uwezo wa kubeba 4 TEU containers Kwa kila wagon, kwahivyo 56 wagons za double stack ziko na 224 containers...
View attachment 2233968
Alafu, uwezo wa kubeba kontena nyingi Kwa mpigo sio kigezo pekee cha kupima carrying capacity ya reli ....
Reli ya Tanzania ime-designiwa iwe na uwezo wa kubeba mzigo mkubwa Kwa mpigo sababu lengo lenu haswaa ni kubeba heavy metals za raw unprocessed mineral extracts... Lakini hii design yenu imewekwa kwamba iwe kuna safari chache za reli Kati ya point A to point B.... Yani frequency ya scheduled train dispatch iko chini kabisa... Utakua Kwa siku kuna kama safari nane za mizigo (ukijumlisha kwenda na kurudi) za reli za mpigo pekee.
Wakati reli ya Kenya imelenga haswaa kubeba makontena na mizigo miengine ambayo si mizito kama vile malighafi na madini... Huku kila saa treni inatoka na mizigo michache kidogo compared to tz lakini at high frequency , Kwa mfano Kati ya Msa-Nairobi kila baada ya kilomita 14 kuna stesheni ya treni kupishana manake ziko nyingi mno humo njiani unlike Tz ambapo sehemu za treni kutoka upande mmoja kupishana na treni inayoenda upande mwengine ni chache sana.. , Kenya kila siku kuna safari 28 za reli ( ukijumlisha kwenda na kurudi)
Hii higher train dispatch frequency yetu na wingi wa sehemu za reli kupishana ndo inafanya capacity ya reli yetu ya Kenya iwe juu kuliko yenu ya Tanzania!
Hapa Mkunya Kafrican akidhihirisha kichwani kajaa mavi!Siku zote mtu ambaye hajui analosema atajikuta anaropokwa vituko!

Inakaa DMUs zitaweza kukatiza toka Dar mpaka Dodoma by August! Mie nitapenda kufanya tour December kwenye hii kitu! Hila hawa jamaa wana viwango kwenye ujenzi!
Geza sio "Hila"ni "Ila" kwani na wewe ni kizazi kipya?!Inakaa DMUs zitaweza kukatiza toka Dar mpaka Dodoma by August! Mie nitapenda kufanya tour December kwenye hii kitu! Hila hawa jamaa wana viwango kwenye ujenzi!