Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Eacop, sgr, bagamoyo etc zikijengwa na beberu danganyika ni maendeleo lakini railway station ikijengwa Kenya na Queen sisi ni vijimbwa wa waingereza? Itakua wewe ndio jimbwa hypocrite
Haujawahi kugundua watanzania ndio wanafik number 1. Kwa miaka mingi sana wamekua wakituringia kua nchi Yao inapata uwekezo mwingi zaidi FDI kutoka Kwa hao wazungu, Lakini pale tunapoanza kupata uwekezo mwingi zaidi washageuza story tumekua vibaraka vya wazungu 🤦🏾‍♂️ na ukiangalia takwimu, Mwekezaji makubwa Tanzania kutoka nje ya bara ni huyohuyo mwingereza akishindana na Canada
 
FYI hii sio Ile stesheni ya SGR, hii ni reli tofauti kabisaa, hii ni stesheni ya Nairobi Commuter Railway ambayo itageuzwa iwe railway city, Yani hekari 400 katikati ya mji wa nairobi zitakua na majumba marefu ya ofisi, hoteli, shopping malls, residential areas alafu hapo katikati ya hii new railway city itakua ni hio stesheni

Hayo majengo yote hapo kwenye green ndo hio planned railway city, alafu hapo katikati ndo hio stesheni mpya ya reli itajengwa

View attachment 2232051

cc
babayao255
coodip1
Mkwanzania
ndughuri msuya
NDINDA
Citizens are poor they go without food, most of them live in slums cant afford decent housing unemployment rate is spiralling out of control who will occupy all those buildings unless you are very fond of white elephants. Jengeni uchumi imara kwanza kwa kuwekeza kwenye productive sectors za economy ili muweze ku alleviate many of your poor citizens out of abject poverty kinyume chake wasomali, other foreigners na multinationals offices ndio zitakaa humo while majority of Kenyans live in slums. Hili ni bomu mnalotengeneza la social classes either knowingly or unknowingly.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Rwanda reviews restriction on Ugandan imports​

FRIDAY MAY 20 2022​

Cyanika border post, a crossing point between Rwanda and Uganda.

Cyanika border post, a crossing point between Rwanda and Uganda. While free movement of people between Rwanda and Uganda has resumed, there is still restriction on imports from Uganda. PHOTO | FILE | NMG

Summary

  • The review was necessary because Rwanda wants to enforce quality as well as protect local manufacturers who had started producing some goods that were previously imported from Uganda, PM says.
  • Ugandan products must comply with the set standards on the Rwandan market, he added.

General Image

By ELIE MUTANGANA
More by this Author

Rwanda says it is reviewing its trade list with Uganda before its goods can be allowed on its market, almost four months after opening its main border.

While free movement of people between the countries has resumed, there is still restriction on imports from Uganda.

Read: Optimism as Rwanda agrees to reopen border with Uganda after three years

This week, Rwanda’s Prime Minister Edouard Ngirente told a press briefing that the process of reviewing the trade list is almost complete and the goods will soon be allowed in the market subject to quality checks.

The review was necessary because Rwanda wants to enforce quality as well as protect local manufacturers who had started producing some goods that were previously imported from Uganda, he said.

Ugandan products, the PM said, must comply with the set standards on the Rwandan market.

“What I can possibly say is that trade between the two countries will resume very soon,” Dr Ngirente said on Wednesday after the launch of the second phase of the Economic Recovery Fund (ERF).

Read: Ugandan manufacturers push for return to Rwandan market

Ugandan importers and exporters will be required to apply for a licence from the Rwanda Food and Drugs Authority (FDA) for industrial- manufactured products and Rwanda Inspectorate, Competition, and Consumer Protection Authority (RICA) for agricultural products.

“Rwanda is investing in developing its local manufacturing sector, including the promotion of Made in Rwanda products. That's why we are regulating importation of goods,” Theobald Habiyaremye, the FDA division manager for Foods and Drugs Import and Export, told The EastAfrican.

Read: Uganda, Rwanda leaders meet again at Muhoozi’s party

Cement was one of Uganda’s top exports to Rwanda before the common border was closed.

However, over the last two years, Rwanda turned to importing cement from Tanzania and Kenya in addition to setting up one more local factory.

Currently, there are two existing local cement makers, Cimerwa and Prime cement, which have an annual installed capacity of 600,000 metric tonnes each.

Hima Cement Uganda, one of the top cement exporters to Rwanda, recently told The EastAfrican that their exports to Rwanda have not resumed though there are ongoing discussions to resume exports.

“We are currently not yet exporting to Rwanda but we are resuming soon. We have, however, already sent a verification team to Rwanda, which will help inform our decision,” said Caroline Kezaabu, the company’s communication manager.

Other commodities are aluminium, maize, soap, electricity, pharmaceutical products, and fuel.

Uganda’s Ministry of Trade estimated that Uganda lost over $200 million in export earnings to Rwanda because of the border closure, leaving a major dent since formal exports to Rwanda comprised 5.8 per cent of Uganda’s merchandise exports in 2018.

Punguza inferiority complex...
Muingereza anajenga stesheni, project yenyewe ni ya kujenga mji mzima wenye majumba mengi sana..... hii project ni PPP, kila mtu anaweza kuwekeza pale anapotaka , Kwa mfano ujenzi wa reli itakayofika hapo Kwa hio stesheni utafanywa na mfaransa... Mchina naye anataka kujenga Yale majumba marefu yatakayotumika kama ofisi, hoteli, apartments etc, Kuna project ya BRT pia imo humo ndani .. etc

It's a whole Mini-city, we ushakwama Kwa stesheni moja tu inayojengwa na Muingereza

View attachment 2232631
Nairobi is gonna have a huge CBD
Screenshot_20220521-140516.jpg
 
Citizens are poor they go without food, most of them live in slums cant afford decent housing unemployment rate is spiralling out of control who will occupy all those buildings unless you are very fond of white elephants. Jengeni uchumi imara kwanza kwa kuwekeza kwenye productive sectors za economy ili muweze ku alleviate many of your poor citizens out of abject poverty kinyume chake wasomali, other foreigners na multinationals offices ndio zitakaa humo while majority of Kenyans live in slums. Hili ni bomu mnalotengeneza la social classes either knowingly or unknowingly.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️ Kettle calling the pot black. Hivi unajua Tanzania ina maskini wengi kuliko Kenya? Tatueni huko kwenu Kwanza kabla uje kupiga lecture jirani
 
Punguza inferiority complex...
Muingereza anajenga stesheni, project yenyewe ni ya kujenga mji mzima wenye majumba mengi sana..... hii project ni PPP, kila mtu anaweza kuwekeza pale anapotaka , Kwa mfano ujenzi wa reli itakayofika hapo Kwa hio stesheni utafanywa na mfaransa... Mchina naye anataka kujenga Yale majumba marefu yatakayotumika kama ofisi, hoteli, apartments etc, Kuna project ya BRT pia imo humo ndani .. etc

It's a whole Mini-city, we ushakwama Kwa stesheni moja tu inayojengwa na Muingereza

View attachment 2232631
Hako kamtu kanakuanga clueless sana, reasoning yake bana
 
[emoji2365][emoji2365] Kettle calling the pot black. Hivi unajua Tanzania ina maskini wengi kuliko Kenya? Tatueni huko kwenu Kwanza kabla uje kupiga lecture jirani
Sisi hatufi njaa kama nyie tunakaa kwenye dream houses sio slums tunakula fresh organic food unatoa wapi ujasiri wa kutuita masikini?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Halafu anatokea mjinga mmoja anasema reli yao capacity yake ni kubwa kuliko eco friendly electric sgr ambayo inavuta behewa zaidi ya 100 at 120kph

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Siku zote mtu ambaye hajui analosema atajikuta anaropokwa vituko!

First of all, Kuna tofauti Kati ya Wagon na container...
Flat-bed wagon ya x-70 tunazotumia moja inabeba contena mbili za 20ft kwahivyo 56 wagons ni 112 TEU containers.

ukiangalia vizuri hapo kwa picha utaona kila wagon nyeupe iko na kontena mbili za 20ft
ajkxasdslw8aty5be3e1686af9b.jpg

Alafu zile double stack wagons zina uwezo wa kubeba 4 TEU containers Kwa kila wagon, kwahivyo 56 wagons za double stack ziko na 224 containers...

double-stack-kenya-ports-authority.653c19.png

Alafu, uwezo wa kubeba kontena nyingi Kwa mpigo sio kigezo pekee cha kupima carrying capacity ya reli ....
Reli ya Tanzania ime-designiwa iwe na uwezo wa kubeba mzigo mkubwa Kwa mpigo sababu lengo lenu haswaa ni kubeba heavy metals za raw unprocessed mineral extracts... Lakini hii design yenu imewekwa kwamba iwe kuna safari chache za reli Kati ya point A to point B.... Yani frequency ya scheduled train dispatch iko chini kabisa... Utakua Kwa siku kuna kama safari nane za mizigo (ukijumlisha kwenda na kurudi) za reli za mpigo pekee.

Wakati reli ya Kenya imelenga haswaa kubeba makontena na mizigo miengine ambayo si mizito kama vile malighafi na madini... Huku kila saa treni inatoka na mizigo michache kidogo compared to tz lakini at high frequency , Kwa mfano Kati ya Msa-Nairobi kila baada ya kilomita 14 kuna stesheni ya treni kupishana manake ziko nyingi mno humo njiani unlike Tz ambapo sehemu za treni kutoka upande mmoja kupishana na treni inayoenda upande mwengine ni chache sana.. , Kenya kila siku kuna safari 28 za reli ( ukijumlisha kwenda na kurudi)

Hii higher train dispatch frequency yetu na wingi wa sehemu za reli kupishana ndo inafanya capacity ya reli yetu ya Kenya iwe juu kuliko yenu ya Tanzania!
 
Siku zote mtu ambaye hajui analosema atajikuta anaropokwa vituko!

First of all, Kuna tofauti Kati ya Wagon na container...
Flat-bed wagon ya x-70 tunazotumia moja inabeba contena mbili za 20ft kwahivyo 56 wagons ni 112 TEU containers.

ukiangalia vizuri hapo kwa picha utaona kila wagon nyeupe iko na kontena mbili za 20ft
View attachment 2233950

Alafu zile double stack wagons zina uwezo wa kubeba 4 TEU containers Kwa kila wagon, kwahivyo 56 wagons za double stack ziko na 224 containers...

View attachment 2233968

Kwani mimi nimesema containers au TEU i explicitly said behewa a swahili word for wagon. Sasa fanya hesabu za wagons/behewa nilizokuambia zidisha mara 2 upate idadi ya TEU

Usizungumze vitu bila facts Tz SGR ina njia za kupishana nyingi sana kuliko Kenya sgr. Imagine kipande cha Dar Moro 190km imejengwa reli ya 300km hapo unapata 110km za kupishana. Sasa twende kipande cha Mombasa Nairobi mainline km 480 but reli imejengwa km580 njia ya kupishana Kenya ni 100km tuu embu kama unajua hesabu piga uone mwenyewe nani ana njia nyingi za kupishana.

Also Morogoro Dodoma mainline rail 250km but we are building rail length of 456km kwenye this stretch hapo inamaanisha length ya 200km ya kupishana sasa ukae ukijua vizuri nani ana rail length ndefu ya kupishana uachane na propaganda ulizolishwa na mafisadi wa huu mradi wenu wa SGR. Kama unabisha bisha kwa facts usilete empty words here.

Mkiambiwa reli ya Tz ni superior kuliko hiyo fossil fuel driven rail yenu muwe wapole mkubali tuu mmepigwa hapo na usilete tena vituko hapa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Siku zote mtu ambaye hajui analosema atajikuta anaropokwa vituko!

First of all, Kuna tofauti Kati ya Wagon na container...
Flat-bed wagon ya x-70 tunazotumia moja inabeba contena mbili za 20ft kwahivyo 56 wagons ni 112 TEU containers.

ukiangalia vizuri hapo kwa picha utaona kila wagon nyeupe iko na kontena mbili za 20ft
View attachment 2233950

Alafu zile double stack wagons zina uwezo wa kubeba 4 TEU containers Kwa kila wagon, kwahivyo 56 wagons za double stack ziko na 224 containers...

View attachment 2233968

Alafu, uwezo wa kubeba kontena nyingi Kwa mpigo sio kigezo pekee cha kupima carrying capacity ya reli ....
Reli ya Tanzania ime-designiwa iwe na uwezo wa kubeba mzigo mkubwa Kwa mpigo sababu lengo lenu haswaa ni kubeba heavy metals za raw unprocessed mineral extracts... Lakini hii design yenu imewekwa kwamba iwe kuna safari chache za reli Kati ya point A to point B.... Yani frequency ya scheduled train dispatch iko chini kabisa... Utakua Kwa siku kuna kama safari nane za mizigo (ukijumlisha kwenda na kurudi) za reli za mpigo pekee.

Wakati reli ya Kenya imelenga haswaa kubeba makontena na mizigo miengine ambayo si mizito kama vile malighafi na madini... Huku kila saa treni inatoka na mizigo michache kidogo compared to tz lakini at high frequency , Kwa mfano Kati ya Msa-Nairobi kila baada ya kilomita 14 kuna stesheni ya treni kupishana manake ziko nyingi mno humo njiani unlike Tz ambapo sehemu za treni kutoka upande mmoja kupishana na treni inayoenda upande mwengine ni chache sana.. , Kenya kila siku kuna safari 28 za reli ( ukijumlisha kwenda na kurudi)

Hii higher train dispatch frequency yetu na wingi wa sehemu za reli kupishana ndo inafanya capacity ya reli yetu ya Kenya iwe juu kuliko yenu ya Tanzania!
Hapa Mkunya Kafrican akidhihirisha kichwani kajaa mavi!

Naona several superior marshalling yards in each lot na dedicated freights terminal at each station zinamwambia SGR Tanzania itakuwa na frequency ndogo!

The fact is 56 wagons capacity for SGR Kunyaland can not beat 100 wagons capacity for SGR Tanzania!
 
Update: electrical SGR Tanzania

MY TAKE
Hivi ni kwa nn huyu Professor anachapia namna hii? Kwenye reli anasema treni, kwenye treni anasema reli?
 
Back
Top Bottom