Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

MY TAKE
nadhani tunaweza kuona kwann Tshisekedi ameungana na Burundi na si Rwanda kwenye SGR. Kagame haaminiki!
We umuamini mtu Kama yule Kama anaua hata wenzie uliomsaidie kumuweka madarakani, na raia wake.
Muoga sasahivi anabaki kuogopa makundi ya wahutu drc kule ambayo hata uwezo wa kumpindua hawana.
 
Kenya SGR is 5 years old
7.8 million passengers carried
1.7 million teus transported
 
Hawa wengine itawachukulia 15yrs to achieve this
Remember 50% ya cargo inaishia dar plus customers wao Ni mainchi shithole tupu LDC
Tz imejipanga sana wewe ngoja tuvute zulia chini ya miguu yenu muanguke vibaya. Tz ina nchi 8 zinazotegemea bandari ya Dsm. Mizigo yote ya Ug tunapeleka mpaka port bell kwa bei poa tuu ndani ya 10 hours from port mizigo inafika Mwanza mwanza kesho yake asubuhi iko port bell hiyo ni transit time ya less than 24hrs halafu tuone kama kuna mtu wa UG atapitisha mzigo especially ya container Mombasa. Hawa wengine wala sio jambo la kuzungumzia inland port ya Isaka kwa sasa ita serve hizo nchi nyingine (Uganda, Rwanda, Burundi na Congo) vzr sana maana hapo ni less than 400km from Isaka. Ila connection ya keza ikimalizika electric sgr itatembea moja kwa moja mpaka Congo.

It is only a matter of time before Kenyan sgr iwe obsolete.
 
Hawa wengine itawachukulia 15yrs to achieve this
Remember 50% ya cargo inaishia dar plus customers wao Ni mainchi shithole tupu LDC
Kweli. SGR ya Tanzania hainguanishi any major city kwa hiyo haitawahi break even. Alafu watatumia pesa zote kufanya maintainace ya stima ya mgao.
Mimi nahurumia sana hii nchi, ccm wamewaeka kwa shimo hawatawahi jitoa kama reli ya Ethiopia.
 
Nyie ndio mtaweza kulipia gharama za diesel zinazopanda kila mwaka kwa sgr yenu na pia dollar ya kuagiza mafuta hamna mpaka IMF ije iwaokoe kama ilivyofanya juzi kuwapatia dollar ndio mkaweza kuagiza mafuta.
 
Stick kwa topic ya reli mdanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…