Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,293
- 5,163
Kweli. SGR ya Tanzania hainguanishi any major city kwa hiyo haitawahi break even. Alafu watatumia pesa zote kufanya maintainace ya stima ya mgao.
Mimi nahurumia sana hii nchi, ccm wamewaeka kwa shimo hawatawahi jitoa kama reli ya Ethiopia.
Reli inaunganisha Dar na Dodoma, Dodoma na Tabora, Tabora na Kigoma, Kigoma na Gitega, Tabora na Kigali, Tabora na Mwanza ambayo nayo inaunganisha na Kampala alafu unasema haiunganishi any major city? So ulitaka iunganishe New York na Dar? Kwahiyo hiyo yenu inayounganisha Nairobi na Naivasha ndio major cities?