Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kweli. SGR ya Tanzania hainguanishi any major city kwa hiyo haitawahi break even. Alafu watatumia pesa zote kufanya maintainace ya stima ya mgao.
Mimi nahurumia sana hii nchi, ccm wamewaeka kwa shimo hawatawahi jitoa kama reli ya Ethiopia.

Reli inaunganisha Dar na Dodoma, Dodoma na Tabora, Tabora na Kigoma, Kigoma na Gitega, Tabora na Kigali, Tabora na Mwanza ambayo nayo inaunganisha na Kampala alafu unasema haiunganishi any major city? So ulitaka iunganishe New York na Dar? Kwahiyo hiyo yenu inayounganisha Nairobi na Naivasha ndio major cities?
 
Mombasa Nairobi
Hiyo yenu sijui tabora ni upus tu. Will never make money
 
Dar es salaam commercial city and gateway to east, central and southern africa. Dodoma capital of Tanzania, Mwanza strategic city in lake victoria. Kigoma strategic city in lake Tanganyika. Sasa yenu Mombasa na Nairobi tuu ndio maana mnataabika kurudisha mkopo mpaka mchina anataka kuchukua bandari
 
Dar ndio kila kitu Tanzania. Nje ya hapo ni vijiji tu
 
Kwaiyo ulitaka reli ipae iende moja kwa moja mwanza hau
Mwanza pia ni kijiji. Dar ndio kila kitu tanzania. ingekua dar ndio iko lake victoria na mwanza iwe dar kama ilivyo nairobi na mombasa basi hii reli ingemake sense maana kungekua na mzigo na abiria.
 
Dar ndio kila kitu Tanzania. Nje ya hapo ni vijiji tu
Tanzania sio Kenya kilakitu Nairobi ukitoka nje ha hapo tofauti unayokutana nayo ni kubwa sana. But in Tanzania most cities are more or less the same in standards and development.
 
Mwanza pia ni kijiji. Dar ndio kila kitu tanzania. ingekua dar ndio iko lake victoria na mwanza iwe dar kama ilivyo nairobi na mombasa basi hii reli ingemake sense maana kungekua na mzigo na abiria.
Bongo sio kenya mzee ambapo kila kitu kipo nairobi, uchumi wetu uko very diversified kwaiyo usitake tufanane sababu zipo nyingi ambazo wenzangu washazianisha umu kwann reli yetu itakua more profitable than yours singependa kuzirudia
 
Wewe hujui geography na economy ya Tanzania kabisa. Most mines are in the lake zone they use Dar port. Rwanda Burundi Uganda and Eastern DRC use Dar port. Mizigo ndio inalipa kwenye reli.

Hata kilimo kina mazao mengi yanayotoka lake zone yanaenda kwenye masoko ya kimataifa kupitia Dar port mfano Pamba inalimwa mwanza shinyanga simiyu etc, tumbaku tabora, kahawa Kagera na mengine mengi tuu
 
Mines ambazo hazina pesa?
Dar ni nusu ya uchumi wa Tanzania, yani 50%. Zanzibar 30% alafu 20% ya uchumi ndio inabaki Tanganyika. Hii SGR inatoka Dar inaelekea Tanganyika ambako hakuna uchumi, abiria wala mzigo. Its a waste.
 
Bongo sio kenya mzee ambapo kila kitu kipo nairobi, uchumi wetu uko very diversified kwaiyo usitake tufanane sababu zipo nyingi ambazo wenzangu washazianisha umu kwann reli yetu itakua more profitable than yours singependa kuzirudia
Mines ambazo hazina pesa?
Dar ni nusu ya uchumi wa Tanzania, yani 50%. Zanzibar 30% alafu 20% ya uchumi ndio inabaki Tanganyika. Hii SGR inatoka Dar inaelekea Tanganyika ambako hakuna uchumi, abiria wala mzigo. Its a waste.
 
Huyo ni mpumbavu co wa kumjibu kabisa, ana mtindio wa ubongo huyo.
 
Mines ambazo hazina pesa?
Dar ni nusu ya uchumi wa Tanzania, yani 50%. Zanzibar 30% alafu 20% ya uchumi ndio inabaki Tanganyika. Hii SGR inatoka Dar inaelekea Tanganyika ambako hakuna uchumi, abiria wala mzigo. Its a waste.
Acha wivu wewe
 
Mkuu nishakusoma kumbe unatumia akili za kuazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…