Mama hafanyi kazi kwa mihemko serikali ina njia zake za kuwawajibisha watumishi wa uma. Kuwajibishwa sio mpaka wewe usikie Raisi akiongea kwenye vyombo vya habari kumwajibisha mtu na ukiona hivyo ujue mtawala ni mdhaifu na anatafuta support ya wananchi. Mama yeye anatumia kalamu tuu sio mdomo.Geza ukiona watu wanamsema mama kua ni dhaifu usione kama wote wanaosema ni sukumaG. Inshu kama hizo za trein na mabehewa ilibidi aonyeshe kweli yeye ndo top. Anashindwa nini kuwaajibisha hao watu? Ata ujenzi kuchelewa ilibidi kadogosa na team yake yote wasiwepo ofisini hadi sasa. Malaika na kupenda kwake sifa sizani Kama angekubali kununua mabehewa na train yaliyochoka. Kama kweli unaishi Tanzania suala la watu kufoji documents kwa maslahi yao sio geni. Kama walibadilisha report ya CAG watashindwa nini kubadilisha documents za TRC ili kumwangushia jumba bovu malaika? Na ukizingatia rais ni (mdebwedo) wa maamuzi magumu