Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Sasa hiyo SGR yenu ina utofauti gn na MGR? Reli ni ile ile, treni ni zile zile mpk mtu uambiwe hii ni SGR lkn usipoambiwa inakuwa ni kama MGR tu, huku kwetu hata kama isingekuwa ni SGR lkn utofauti mkubwa sana upo mana yetu ina electric poles ambapo inafanya reli yetu kuwa kivutio kikubwa huku kwetu na EA nzima yn kama ulaya mwanangu.
 
Hakuna electric poles sasa cha ajabu nini?
 
Hakuna electric poles sasa cha ajabu nini?
Kwani haujawai kuona nyaya za stima, ama hizo electric pole ndo hua zinakufanya usimbe 😛 Ukishaona poles wiki ya kwanza itakua lishakua jambo la kawaida kabisa kwako....
Ni kama vile pale mwanzo mwanzo miaka ya 2012 wakaazi wa Nairobi ilikua wanatembea kuangalia flyover zikijengwa tu, Kuna wengine walikua wanachukua gari watemee Thika road wanaanzia Nairobi kadi Ruiru alafu wanarudi Nairobi.... Lakini huo ushamba ulishatutoka, tushazoea, labda mgeni ndo utamona akijishughulisha lakini wakaazi washazoea, hivyo ndo itakua na SGR yenu, sisi huku tushazoea, miaka minne sio michache, picha zaidi ya 10,000 zimepigwa na kupostiwa mitandaoni! Sisi tulisha move on to other exiting things.
 
DRC Delegation Completes its tour of Northern Corridor with a visit to Naivasha Dry port









 
Sio kweli mara ya mwisho ulipita humu maswali yalikuwa and I quote "show us 1cm ya sgr in Tanzania" sasa hivi tunavyoongea Dar to Dom is fully connected by sgr other lots are in various stages of construction, trains have been ordered, stations are taking shapes and we are now tendering for Tanzania Burundi DRC line.
 
Ila ya umeme bado sana kuiona huko kwenu [emoji16]. Kwa ushauri wako tutakuwa tunaweka miundo mbinu mbalimbali ya umeme kwenye sgr maana hiyo kwenu hamjawahi kuona [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mmezoea electrifitried SGR tangu lini mkawa na electrifitried SGR?
 
Never have I ever asked such a question... Swali langu mimi specifically hua namwambia mwenzako Geza kila siku, mkiwa na functioning SGR operating for atleast 2 years ndo mje tuongee... This is still the case... So when you have been in operation for two years, then njoo unitag tuanze comparison ya ukweli sasa... until then.. hakuna jipya bado mnaongelea theory sisi tuko practical
 
Ila ya umeme bado sana kuiona huko kwenu [emoji16]. Kwa ushauri wako tutakuwa tunaweka miundo mbinu mbalimbali ya umeme kwenye sgr maana hiyo kwenu hamjawahi kuona [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na mkishaweka itachukua wiki moja tu na itakua imeshakua jambo la kawaida, ama unataka uniambie kila siku utakua unapost picha za nyaya za umeme kwa miaka minne 🙄🧐
 
Unaona kitu kama hii, I have like 30 pictures of double stacked trains cause I used to be obsessed with these trains... Infact one time I camped somewhere along the SGR line at a friends house just waiting to see these trains, After finally seeing them in real life 4 times, it still takes my breath away every single time, but I wouldn't waste my day waiting for them anymore ju zimekua normal kwangu, I'm no longer that obsessed to see these wagons cause I have seen then enough times its no longer a big deal.. Hivyo ndo SGR yenu itakua after 4 years of operation, you will loose interest, wengi wenu mtapotea and move on to new things, maybe wakati huo itakua bagamoyo port inajengwa ama kile kiwanda cha gesi, ama ile Dam ya rufiji itakua imekamilika etc

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…