KASULI
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 599
- 677
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hiyo SGR yenu ina utofauti gn na MGR? Reli ni ile ile, treni ni zile zile mpk mtu uambiwe hii ni SGR lkn usipoambiwa inakuwa ni kama MGR tu, huku kwetu hata kama isingekuwa ni SGR lkn utofauti mkubwa sana upo mana yetu ina electric poles ambapo inafanya reli yetu kuwa kivutio kikubwa huku kwetu na EA nzima yn kama ulaya mwanangu.Mimi hua sipitii tena manake hakuna jipya tena huku... Na ni kweli manake nimerudi najaribu kuangalia angalia lakini sioni jipya ni kama tu mko pale pale.. na sisi huku kwetu tushazoea maisha ya SGR kwetu si jambo jipya tena, its not even news the SGR Ke is running smoothly, no hiccups... nothing to report home about... we are oncourse to do 5.5Million tonnes this year.. All the pictures that can be taken have been taken and posted... We moved on to new obsessions like the Nairobi Expressway but hata hio nimeshachoka nayo zitaki kuona picha nyegine tena... Labda kukitokea jambo jipya kwa SGR ke ndo utatuona tunarudi tena kupost kila siku..
Kama kawaida low quality works.
Hakuna electric poles sasa cha ajabu nini?Hata nyinyi huko Tanzania itafika wakati mtachoka na picha za SGR yenu, mwanzo ukishaipanda mara kama tatu hivi, utaacha kujipiga ma selfy itakua imekua jambo la kawaida tu kama wale walio na uzoefu wa kupanda ndege.
Kumbuka Kenya tumekua na functioning SGR kwa miaka 4 sasa, ile 'high' ya kutaka kujua kila kitu cha SGR yetu iliisha, sasa kuona double-stack wagon ni normal kwetu, no big deal...
View attachment 2344480
Ama kuona maelfu ya makontena yakipakiwa na kupakuliwa kwa dry port, si habari za kupost kwa forum tena manake nishawai post nyengine kama hizi mwaka uliopita, nothing new, just a different day.
View attachment 2344481
Zikishakamilika zote wataelewa tu
Kwani haujawai kuona nyaya za stima, ama hizo electric pole ndo hua zinakufanya usimbe 😛 Ukishaona poles wiki ya kwanza itakua lishakua jambo la kawaida kabisa kwako....Hakuna electric poles sasa cha ajabu nini?
Sio kweli mara ya mwisho ulipita humu maswali yalikuwa and I quote "show us 1cm ya sgr in Tanzania" sasa hivi tunavyoongea Dar to Dom is fully connected by sgr other lots are in various stages of construction, trains have been ordered, stations are taking shapes and we are now tendering for Tanzania Burundi DRC line.Mimi hua sipitii tena manake hakuna jipya tena huku... Na ni kweli manake nimerudi najaribu kuangalia angalia lakini sioni jipya ni kama tu mko pale pale.. na sisi huku kwetu tushazoea maisha ya SGR kwetu si jambo jipya tena, its not even news the SGR Ke is running smoothly, no hiccups... nothing to report home about... we are oncourse to do 5.5Million tonnes this year.. All the pictures that can be taken have been taken and posted... We moved on to new obsessions like the Nairobi Expressway but hata hio nimeshachoka nayo zitaki kuona picha nyegine tena... Labda kukitokea jambo jipya kwa SGR ke ndo utatuona tunarudi tena kupost kila siku..
Ila ya umeme bado sana kuiona huko kwenu [emoji16]. Kwa ushauri wako tutakuwa tunaweka miundo mbinu mbalimbali ya umeme kwenye sgr maana hiyo kwenu hamjawahi kuona [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata nyinyi huko Tanzania itafika wakati mtachoka na picha za SGR yenu, mwanzo ukishaipanda mara kama tatu hivi, utaacha kujipiga ma selfy itakua imekua jambo la kawaida tu kama wale walio na uzoefu wa kupanda ndege.
Kumbuka Kenya tumekua na functioning SGR kwa miaka 4 sasa, ile 'high' ya kutaka kujua kila kitu cha SGR yetu iliisha, sasa kuona double-stack wagon ni normal kwetu, no big deal...
View attachment 2344480
Ama kuona maelfu ya makontena yakipakiwa na kupakuliwa kwa dry port, si habari za kupost kwa forum tena manake nishawai post nyengine kama hizi mwaka uliopita, nothing new, just a different day.
View attachment 2344481
Vitu vimeenda shule sana sio zile oriental monasteries.
Mmezoea electrifitried SGR tangu lini mkawa na electrifitried SGR?Kwani haujawai kuona nyaya za stima, ama hizo electric pole ndo hua zinakufanya usimbe [emoji14] Ukishaona poles wiki ya kwanza itakua lishakua jambo la kawaida kabisa kwako....
Ni kama vile pale mwanzo mwanzo miaka ya 2012 wakaazi wa Nairobi ilikua wanatembea kuangalia flyover zikijengwa tu, Kuna wengine walikua wanachukua gari watemee Thika road wanaanzia Nairobi kadi Ruiru alafu wanarudi Nairobi.... Lakini huo ushamba ulishatutoka, tushazoea, labda mgeni ndo utamona akijishughulisha lakini wakaazi washazoea, hivyo ndo itakua na SGR yenu, sisi huku tushazoea, miaka minne sio michache, picha zaidi ya 10,000 zimepigwa na kupostiwa mitandaoni! Sisi tulisha move on to other exiting things.
Never have I ever asked such a question... Swali langu mimi specifically hua namwambia mwenzako Geza kila siku, mkiwa na functioning SGR operating for atleast 2 years ndo mje tuongee... This is still the case... So when you have been in operation for two years, then njoo unitag tuanze comparison ya ukweli sasa... until then.. hakuna jipya bado mnaongelea theory sisi tuko practicalSio kweli mara ya mwisho ulipita humu maswali yalikuwa and I quote "show us 1cm ya sgr in Tanzania" sasa hivi tunavyoongea Dar to Dom is fully connected by sgr other lots are in various stages of construction, trains have been ordered, stations are taking shapes and we are now tendering for Tanzania Burundi DRC line.
Na mkishaweka itachukua wiki moja tu na itakua imeshakua jambo la kawaida, ama unataka uniambie kila siku utakua unapost picha za nyaya za umeme kwa miaka minne 🙄🧐Ila ya umeme bado sana kuiona huko kwenu [emoji16]. Kwa ushauri wako tutakuwa tunaweka miundo mbinu mbalimbali ya umeme kwenye sgr maana hiyo kwenu hamjawahi kuona [emoji1787][emoji1787][emoji1787]