Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hii Battle imefungua watu macho ni nani anafanya miradi yenye tija. Wakati wengine wakipanga na kufanya miradi ya kimkakati taratibu taratibu, wengine wako busy wakifanya miradi ya kukurupuka kwa ajili ya kujionesha. Mwisho wake ndio huu, watu wanakimbia uzi kabla hata hatujamaliza😅😅
 
Hii Battle imefungua watu macho ni nani anafanya miradi yenye tija. Wakati wengine wakipanga na kufanya miradi ya kimkakati taratibu taratibu, wengine wako busy wakifanya miradi ya kukurupuka kwa ajili ya kujionesha. Mwisho wake ndio huu, watu wanakimbia uzi kabla hata hatujamaliza[emoji28][emoji28]
Walishaukimbia huu uzi kitambo ila cc tutaendelea kuwapiga spana mpk wakohoe damu.
 
20221024_151604.jpg
 
Mbona Haina tofauti na ya wakenya?
Hii ni kama ya wakenya tofauti yake ni kuwa itavutwa na electric locomotive. EMU zinazotengenezwa na Hyundai Rotem ndizo zitakazokua tofauti kdg zenye behewa 8 na kuwa na vichwa 2 kimoja mbele na kingine nyuma. Lazima uwe na mix hii ya train kwa biashara maana hii inaweza kubeba behewa nyingi sana.
 
Back
Top Bottom