Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Yaani huyu kadogosa Bora asubiri mpaka wagons za SGR Dar-Moro zifike ndio atangaze siku ya kuanza hiyo safari. Hii ndio mara ya nne sasa anasogeza mbele safari za Dar_ Moro,hii ni aibu!

 
Ni kweli ila ucheleweshaji huu upo nje ya uwezo wetu!
Ucheleweshwaji mkubwa hapa ni ule wa trains za mtumba 30 double decker coaches na 2 electric locomotives. Renovation sijui kwanini inachukua muda mrefu hivyo mpaka new coaches ambazo zimekuwa ordered later zimemalizwa kutengenezwa na kufika nchini lakini bado zenyewe bado ukarabati haujamalizika pamoja na kuvunja mkataba wa Euro Wagon.

Naona kuna kitu hakipo na kuna taarifa wanaficha.

Ukifuatilia hiyo tarehe ya june kwamba train zitakuja utaona amelenga kwenye coaches za Sungshin rollingstock ya Korea na electric locomotives za Hyundai na sio zile mtumba ambazo ziliagizwa mapema kabla ya hizi nyingine.
 
siku hizi kuna internet baba, hakifichwi kitu! whistleblowers kila kona wapo! Time will tell maana tayari tunaambiwa fedha za plea bargain ziko mabenki ya Uchina, zilifikaje? Ni kizungumkuti...
 
siku hizi kuna internet baba, hakifichwi kitu! whistleblowers kila kona wapo! Time will tell maana tayari tunaambiwa fedha za plea bargain ziko mabenki ya Uchina, zilifikaje? Ni kizungumkuti...
Wakamatwe wahusila wote wa plea bargain na wale wote waliofanikisha mihamala hiyo.
 
Mama yuko kazini, wanavyodai.

Ubabaishaji umekuwa mkubwa sana.
 
Mkataba uliingiwa wakati wa awamu ya 5 kununua train za mtumba. Lakini unaonekana ulikuwa mkataba mbovu watu walikula hela hapo.
Mkataba ni hao hao wakina Kadogosa, na mkataba ulibadilishwa kutoka kwa kampuni moja ya ukarabati kwenda nyingine awamu ya nne chini ya kadogosa huyo huyo. Swala la Mtumba sio kama ni ajenda hapo tangia zipo nyingi mpya na huo ni mtumba bora sana "Double Decker". Awamu ya 5 ndio imesain pia na Hyundai Rotem "EMUs".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…