Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #15,161
The largest SGR station in east and central Africa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hio canopy mlikua mnabishaThe largest SGR station in east and central Africa!
View attachment 2515085
View attachment 2515086
View attachment 2515087
a canopy 👇 👇Ndo hio canopy mlikua mnabisha
Ni kweli ila ucheleweshaji huu upo nje ya uwezo wetu!Yaani huyu kadogosa Bora asubiri mpaka wagons za SGR Dar-Moro zifike ndio atangaze siku ya kuanza hiyo safari. Hii ndio mara ya nne sasa anasogeza mbele safari za Dar_ Moro,hii ni aibu!
![]()
Dar-Moro SGR maiden trip deferred as wagons delivery delayed
Tanzania's electric train is expected to link the country with land-locked neighbouring countries.www.theeastafrican.co.ke
Ni kweli,ila aache kutoa "specific date" kwamba itaaanza,asubiri kila kitu kifike ndio atangaze.Ni kweli ila ucheleweshaji huu upo nje ya uwezo wetu!
Ucheleweshwaji mkubwa hapa ni ule wa trains za mtumba 30 double decker coaches na 2 electric locomotives. Renovation sijui kwanini inachukua muda mrefu hivyo mpaka new coaches ambazo zimekuwa ordered later zimemalizwa kutengenezwa na kufika nchini lakini bado zenyewe bado ukarabati haujamalizika pamoja na kuvunja mkataba wa Euro Wagon.Ni kweli ila ucheleweshaji huu upo nje ya uwezo wetu!
siku hizi kuna internet baba, hakifichwi kitu! whistleblowers kila kona wapo! Time will tell maana tayari tunaambiwa fedha za plea bargain ziko mabenki ya Uchina, zilifikaje? Ni kizungumkuti...Ucheleweshwaji mkubwa hapa ni ule wa trains za mtumba 30 double decker coaches na 2 electric locomotives. Renovation sijui kwanini inachukua muda mrefu hivyo mpaka new coaches ambazo zimekuwa ordered later zimemalizwa kutengenezwa na kufika nchini lakini bado zenyewe bado ukarabati haujamalizika pamoja na kuvunja mkataba wa Euro Wagon.
Naona kuna kitu hakipo na kuna taarifa wanaficha.
Ukifuatilia hiyo tarehe ya june kwamba train zitakuja utaona amelenga kwenye coaches za Sungshin rollingstock ya Korea na electric locomotives za Hyundai na sio zile mtumba ambazo ziliagizwa mapema kabla ya hizi nyingine.
Wakamatwe wahusila wote wa plea bargain na wale wote waliofanikisha mihamala hiyo.siku hizi kuna internet baba, hakifichwi kitu! whistleblowers kila kona wapo! Time will tell maana tayari tunaambiwa fedha za plea bargain ziko mabenki ya Uchina, zilifikaje? Ni kizungumkuti...
Mama yuko kazini, wanavyodai.Ucheleweshwaji mkubwa hapa ni ule wa trains za mtumba 30 double decker coaches na 2 electric locomotives. Renovation sijui kwanini inachukua muda mrefu hivyo mpaka new coaches ambazo zimekuwa ordered later zimemalizwa kutengenezwa na kufika nchini lakini bado zenyewe bado ukarabati haujamalizika pamoja na kuvunja mkataba wa Euro Wagon.
Naona kuna kitu hakipo na kuna taarifa wanaficha.
Ukifuatilia hiyo tarehe ya june kwamba train zitakuja utaona amelenga kwenye coaches za Sungshin rollingstock ya Korea na electric locomotives za Hyundai na sio zile mtumba ambazo ziliagizwa mapema kabla ya hizi nyingine.
Wacha ulalamishi usio na kichwa wala miguu hata JPM angekuwepo, ucheleweshaji huu usingehepukika!Mama yuko kazini, wanavyodai.
Ubabaishaji umekuwa mkubwa sana.
Porojo nyingi sana skuhizi matokeo zeroWacha ulalamishi usio na kichwa wala miguu hata JPM angekuwepo, ucheleweshaji huu usingeepukika!
Mkataba uliingiwa wakati wa awamu ya 5 kununua train za mtumba. Lakini unaonekana ulikuwa mkataba mbovu watu walikula hela hapo.Mama yuko kazini, wanavyodai.
Ubabaishaji umekuwa mkubwa sana.
Hamkosagi sababu za kufchia uozo wenu wa kushindwa kutimiza majukumu yenuMkataba uliingiwa wakati wa awamu ya 5 kununua train za mtumba. Lakini unaonekana ulikuwa mkataba mbovu watu walikula hela hapo.
Mkataba ni hao hao wakina Kadogosa, na mkataba ulibadilishwa kutoka kwa kampuni moja ya ukarabati kwenda nyingine awamu ya nne chini ya kadogosa huyo huyo. Swala la Mtumba sio kama ni ajenda hapo tangia zipo nyingi mpya na huo ni mtumba bora sana "Double Decker". Awamu ya 5 ndio imesain pia na Hyundai Rotem "EMUs".Mkataba uliingiwa wakati wa awamu ya 5 kununua train za mtumba. Lakini unaonekana ulikuwa mkataba mbovu watu walikula hela hapo.