Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania


Miaka zaidi ya 40 baadae TAZARA imechoka si TZ wala Zambia ambayo zimeitendea haki reli hii kila uchwao nchi hizi zinaendelea kuomba misaada china ya kuendelea kuiendesha imefikia hatua nchi hizi zinapewa mpaka fedha za msaada za kununua mafuta ya treni hizi aibu ilioje na hayo mafuta bado yanaibwa vilevile! Mchina aliwajengea karakana nzuri sana ya kukarabati mabehewa na mambo mengine yahusuyo treni leo hii karakana iko hoi bin taaban......steshen ya TZR dar imechoka mnoo ikinyesha mvua si kuvuja huko aisee africa laana tupu😭😭😭
 







MY TAKE
jamaa wa extended canopy wanaugulia maumivu pande zipi?

Ndo hio canopy mlikua mnabisha

F1k1umxWYAE7bqL


F1k1um7WIAIp75C
 
Back
Top Bottom