Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #15,401
Value for money [emoji383] inaonekana hapa wale wengine waliletewa tuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Miaka zaidi ya 40 baadae TAZARA imechoka si TZ wala Zambia ambayo zimeitendea haki reli hii kila uchwao nchi hizi zinaendelea kuomba misaada china ya kuendelea kuiendesha imefikia hatua nchi hizi zinapewa mpaka fedha za msaada za kununua mafuta ya treni hizi aibu ilioje na hayo mafuta bado yanaibwa vilevile! Mchina aliwajengea karakana nzuri sana ya kukarabati mabehewa na mambo mengine yahusuyo treni leo hii karakana iko hoi bin taaban......steshen ya TZR dar imechoka mnoo ikinyesha mvua si kuvuja huko aisee africa laana tupuπππ
Ndo hio canopy mlikua mnabisha
upo?Ndo hio canopy mlikua mnabisha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
MY TAKE
jamaa wa extended canopy wanaugulia maumivu pande zipi?
Haya mavichwa huwa; nayaona kama mask za wale wrestlers aisee sorry to say that, hata kama performance yake ni nzuri kwa huko Kenya.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Meanwhile kwa jirani sasa working horses zao [emoji16]View attachment 2696728
chinese first class ati! hata BlietzKrieg, mwathadan n Teargass husema hivyo! ati wako miaka 30 mbele yetu! π π π πββοΈπββοΈπββοΈππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Meanwhile kwa jirani sasa working horses zao [emoji16]View attachment 2696728
Mko na trains za kawaida, kama tu za Kenya πππ
Siku si nyingi wazungu watajiuliza "M'I IN AFRICA?!"