Kwa TRC ninayo ijua mimi usitegemee wakawa wakweli nduguTuliambiwa vichwa vya treni vitafika mwishoni mwa mwezi wa saba au mwanzoni mwa mwezi wa nane. Huu mradi umejaa uongo kweli
Alafu mradi uje ufanikiwe ni ngumu sana. Safari za mbali wakiweza kuanza ziwe zinafanyika usiku baada ya mchana kuokoa muda.Kwa TRC ninayo ijua mimi usitegemee wakawa wakweli ndugu
Soon or later mgr itakufa then itafuata sgr mana hawataweza kuimanageAlafu mradi uje ufanikiwe ni ngumu sana. Safari za mbali wakiweza kuanza ziwe zinafanyika usiku baada ya mchana kuokoa muda.