Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

kwani ww haujui baba lovo yuko kwa payroll ya serikali na anakula hela ndefu sana kuifanyia PR? usijitoe ufahamu
 
Wabongo bhana.... 😁😁😁 ni lini mtakua na akili?
 
kwani ww haujui baba lovo yuko kwa payroll ya serikali na anakula hela ndefu sana kuifanyia PR? usijitoe ufahamu
Bertin nae anakula hela ya serikali!?
Kuna waandishi habari kibao hadi wa Azam media,je Azam media nao huingia kwa payroll ya serikali!?
Mkumbafu mkubwa.
 
kwa akili yako ni yupi aliye win ? Aliyeanza na kuendelea au asiyeanza kabisaaaa kwa kukosa ela 😁😁😁 Tena reli isiyo ya umeme.
Kama nchi unawezaje kweli kukosa hela ya kutandika reli isiyokuwa ya umeme?!!!! Miundombinu yake haina complications kama reli ya umeme 😁
 
Electric train ya mizigo Tz inachukua masaa 7 Dar mpaka Mwanza distance of 1000km
jamaa, wacha bhangi. uliwai ona wapi 'Electric train ya mizigo' ndani ya Tz. nakwambia kila siku wachana na ndoto za mchana.
reli ni dar - dom, 540km. sasa huko kwingine huwa inapaa?
 
Kama nchi unawezaje kweli kukosa hela ya kutandika reli isiyokuwa ya umeme?!!!! Miundombinu yake haina complications kama reli ya umeme 😁
ile headache munayoenda kukutana nayo huko mbele πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚... akili zenu nyote zinakaa ki kinjekitile ngwale 🀣
 
Gari moshi la mizigo lazima litumie masaa 12 Nairobi Mombasa section kipande cha 450km.
Electric train ya mizigo Tz inachukua masaa 7 Dar mpaka Mwanza distance of 1000km
Dar to mwanza ni 1200+ kms
 
jamaa, wacha bhangi. uliwai ona wapi 'Electric train ya mizigo' ndani ya Tz. nakwambia kila siku wachana na ndoto za mchana.
reli ni dar - dom, 540km. sasa huko kwingine huwa inapaa?
ndugu, tungependa uelewe kwamba, reli ni toka DSM hadi Mwanza, ila kipande ambacho kimeshakamilika ni Dar to Dodoma. Dar to Mwanza inapita Dodoma, na kama una ndugu zako wa Kisumu ambao huwa wanafika Mwanza watakuambia kuwa wameona madaraja ya juu jijini mwanza ya kupitisha reli kuanzia ziwani. muda si mrefu kipande cha Dodoma to Mwanza kitakamilika hivyo train itaanzia Dar hadi Mwanza kwa masaa si zaidi ya 7. Tanzania ni kubwa, mwanza to Dar ni mbali sana, na ujue Tanzania ukubwa wake unganisha Uganda, kenya, rwanda na Burundi ndio utapata Tanzania.
 
Linajua hilo lijamaa linalojiita Lewis254 sema tu limeamua kujizima dataπŸ˜ŽπŸ˜‰
 
lakini ni treni hii hii iliyomaliza masaa matano njiani kutoka dar - moro 200km sasa kutoka dar mpaka mwanza si itamaliza wiki nzima?
labda pengine hujui tulikotoka. hebu pitia hapa πŸ‘‰ SGR na Zimwi la Uhairishwaji kila Muda
usipende kukariri
 
ma chawa wana shida sana. wagumu kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…