ndugu, tungependa uelewe kwamba, reli ni toka DSM hadi Mwanza, ila kipande ambacho kimeshakamilika ni Dar to Dodoma. Dar to Mwanza inapita Dodoma, na kama una ndugu zako wa Kisumu ambao huwa wanafika Mwanza watakuambia kuwa wameona madaraja ya juu jijini mwanza ya kupitisha reli kuanzia ziwani. muda si mrefu kipande cha Dodoma to Mwanza kitakamilika hivyo train itaanzia Dar hadi Mwanza kwa masaa si zaidi ya 7. Tanzania ni kubwa, mwanza to Dar ni mbali sana, na ujue Tanzania ukubwa wake unganisha Uganda, kenya, rwanda na Burundi ndio utapata Tanzania.