ππusisahau na wimbo wao pendwa wa mama anaupiga mwingi.
Ile ilikuwa imebeba empty containers for showNimekutana na comment mkunya akilalamika mbona siku hizi haoni mtungi wa changaa ikibeba dabo staki! πππ
Not new COW did the same! Now get funds..hii habari haijakaa poa sana aisee π π
View attachment 2986391
wabongo wote right now πππView attachment 2986392
View attachment 2986393
Hata ingekuwa wewe kwa akili ya kawaida uchague kati ya hizi reli mbili ungechagua kujiunga na reli ipi?hii habari haijakaa poa sana aisee π π
View attachment 2986391
wabongo wote right now πππView attachment 2986392
View attachment 2986393
tofautisha majaribio na uhalisia.lakini ni treni hii hii iliyomaliza masaa matano njiani kutoka dar - moro 200km sasa kutoka dar mpaka mwanza si itamaliza wiki nzima?
labda pengine hujui tulikotoka. hebu pitia hapa π SGR na Zimwi la Uhairishwaji kila Muda
usipende kukariri
Hizo stori tulishazisikia miaka sita iliyopitaππhii habari haijakaa poa sana aisee π π
View attachment 2986391
wabongo wote right now πππView attachment 2986392
View attachment 2986393
sio mimi niliochagua hapa πHata ingekuwa wewe kwa akili ya kawaida uchague kati ya hizi reli mbili ungechagua kujiunga na reli ipi?
Time will tell kaa kwa kutulia dogo.
Kenya:
Speed 80kph cargo
Speed 120kph passengers
Source of power Diesel (imported)
Axle weight 25T
Train length 1km
Classification chinese standards
Tanzania:
Speed cargo 120kph
Speed passengers 160kph
Source of power electricity produced from the grid
Axle weight 35T
Train length 2km
Classification american/European standards
huo uhalisia uko wapi sasa....tofautisha majaribio na uhalisia.
πππHizo stori tulishazisikia miaka sita iliyopitaππ
View: https://m.youtube.com/watch?v=Vl3HjR9V7Ok&pp=ygUTS2VueWEgc2dyIHRvIHVnYW5kYQ%3D%3D
Hamnazo kichwani wewe ubishi wa bure tuusio mimi niliochagua hapa π
View attachment 2986625
kwaio usinililie mm.
waliochagua wako kibiashara zaidi na wanajua changamoto zinazokuja na electric trains. most of the countries zinazotumia electric trains, wanazitumia from city A to city B (intercities) ambayo huwa 200 - 400kms. sasa nyinyi na akili zenu mulizorithi toka kwa Kinjekitile Ngwale mumekurupuka.
btw Kenya Sgr is Chinese Class 1 standard.
dogo, amini usiamini, after 5yrs your Sgr will be worn out na hii ndio situation tunayoenda kushuhudia π
View attachment 2986631
Wasalimie wenzako akina Mdude na Boni Yaiπasante sana kwa kunielewa.
jaribu kuwaelimisha na wenzako pia mgonjwa mtumbaff, Kosugi & co
hatutaki kuja kushuhudia mambo haya π
View attachment 2986900View attachment 2986901
Uache kuvuta bange.asante sana kwa kunielewa.
jaribu kuwaelimisha na wenzako pia mgonjwa mtumbaff, Kosugi & co
hatutaki kuja kushuhudia mambo haya π
View attachment 2986900View attachment 2986901
Kadata huyu.Wasalimie wenzako akina Mdude na Boni Yaiπ
we jamaa umerukwa na akili. kwanza unachofaa kujua ni kwamba Japan ni nchi ndogo sana (size) na ina population kubwa (130m) pia ina miji mingi na hakuna hata mji mmoja unaoweza kuufananisha na dar. dar yenyewe hovyo halafu uunganishe na dodoma ambao hauna mpango wowote kabisa. wachana na Japan sio levo yako kabisa. ww nenda kabishane na Burundi.Kadata huyu.
Eti nchi zinazotumia treni za umeme huzitumia mwisho kilometa 400.
Aende akaitizame Japan karibuni yote imezungukwa na mtandano wa reli ya umeme/bullet trains.
Fala sana huyu.
hii ndio habari inayotrend au inayogonga vichwa vya habari kwa sasa πππ EAC states renew pledge to fast-track SGR projectWasalimie wenzako akina Mdude na Boni Yaiπ
Upuuzi mtupu. Hizo hadithi tumezisikia miaka nenda rudi.hii ndio habari inayotrend au inayogonga vichwa vya habari kwa sasa πππ EAC states renew pledge to fast-track SGR project