Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #16,561
Unafikiri kujenga 2000 km at once ni kula mtura? Mind u budget ya uchukuzi pia imetenga ovet $500 mln kwa ajili ya ujenzi!
kazi imebuma..... hebu pitia hapa 👇Huku Kazi inapigwa Kenya endeleeni na siasa
hujui kitu wewe. pumba nyingi tu 😂Reli imeshapita Mwanza kitambo na sasa huko Mwanza ni majaribio ya kupitisha train yameshaanza kitambo
Isaka-Mwanza is over 51% done!hujui kitu wewe. pumba nyingi tu 😂
View attachment 2998288
View attachment 2998289
usizime simu 😂😂
discontinued until further notice 😆🤣🤣Continuous welded Electric powered 🤣🤣🤣🤣
Hata LOT3 SGR Dodoma-Makutupora ni zaidi ya 10%!reli inajengwa kwa vipande na sasa inakatika vipande vipande 🚮
View attachment 2998428
hahahaha noma sana aisee. ndio maana siwaoni humuWafanyakazi wote wameliwa kichwa mpaka alieandika tangazo
et..... 🤣🤣🤣🤣🤣Mwendokasi umetushinda ndio tutaweza SGR?
huko kwengine treni inamea mabawa na kupaa ama??? kichwa majiHata LOT3 SGR Dodoma-Makutupora ni zaidi ya 10%!
asilimia 90 ndio hio imepotea sasa sijui huko kulikobaki treni itapaa kwa ungo au vipi 🤔 🤣🤣🤣🤣🤣Huu mradi kwa asilimia kubwa umeshafeli kuendelea huko lot3&4 mambo ni hayo hayo, na tetesi ni kwamba waturuki hawana pesa za kuendesha huu mradi kwa sasa mpaka wapewe asilimia kadhaa tena na serikali.
Mradi unaenda kufa huu yapi wanao ndoa wafanyakazi wao wa kituruki kila wiki.