View: https://youtu.be/0PBiEhJWhL4?si=ivrDDom4k1TyN4ZS
CNGT wanatumia clip za video za SGR ya Tz baada ya kenya
Railway tracks without supporting infrastructure kama electric poles na catenary cables looks wierd 😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View: https://youtu.be/0PBiEhJWhL4?si=ivrDDom4k1TyN4ZS
CNGT wanatumia clip za video za SGR ya Tz baada ya kenya
Reli yao ni fish plates kwa kwenda mbele nginjanginjaGeza Ulole
Hivi kenya wao railway track yao kwenye junction ya vyuma vya reli wame welding kweli?
View attachment 2999046
Au wanatumia mfumo wa zamani
View attachment 2999047
Lazima itakuwa inamtikisikoReli yao ni fish plates kwa kwenda mbele nginjanginja
Basi lao moja limepata ajari leo
Na makelele mengi ndio maana ikaitwa nginjanginja 🤣🤣🤣Lazima itakuwa inamtikisiko
HATA train za kenya sina uhakika kama Zina air condition.Na makelele mengi ndio maana ikaitwa nginjanginja 🤣🤣🤣
Ivi mkuu hii ni story za kisiasa au uhalisia? Sasa ivi tunaskia Mkandarasi amesimamisha wafanyakazi wote lot 3 alafu wewe unasema mradi utaisha mwaka 2026 wakati hata 20% ya mradi haijafika? Au hiki kitu haujui? Au unakua kama mbuni anaejificha kichwa huku kiwili wili chote kipo nje?Huku Kazi inapigwa Kenya endeleeni na siasa
kule ni kushangilia committment ya mchina kwenye majadiliano ya kupewa mkopo!
View: https://x.com/WizarayaUC/status/1792588878676660462
hawa wanaishi kwenye ndoto/ dreamworld/ fantasyland/ slumberland/ imagination... e.t.c. yamekuwa kama mazombie 😂😂😂. machawa grade 1. hawataki kabisa kukubaliana na reality on the groundIvi mkuu hii ni story za kisiasa au uhalisia? Sasa ivi tunaskia Mkandarasi amesimamisha wafanyakazi wote lot 3 alafu wewe unasema mradi utaisha mwaka 2026 wakati hata 20% ya mradi haijafika? Au hiki kitu haujui? Au unakua kama mbuni anaejificha kichwa huku kiwili wili chote kipo nje?
Hazina HVAC system. Madirisha yanafunguka.HATA train za kenya sina uhakika kama Zina air condition.
This is typical Kunyaland SGR 🤣🤣🤣hawa wanaishi kwenye ndoto/ dreamworld/ fantasyland/ slumberland/ imagination... e.t.c. yamekuwa kama mazombie 😂😂😂. machawa grade 1. hawataki kabisa kukubaliana na reality on the ground
View attachment 2999841
Kwahiyo kila MTU twitter ni mfanyakazi wa SGR slot flani??
Hivi Jamani rwanda na Burundi wataitaji treni za abilia kweli maana kutoka mpka mpk kwenye mji mkuu ni 100km tuu. Hii imekaaje?Hazina HVAC system. Madirisha yanafunguka.
mkuu! ondoa shaka kuhusu hilo! cheki hapa route watakayotumia Burundi... strategic points only... iwe cargo au passengers,,, wako sorted 👇Hivi Jamani rwanda na Burundi wataitaji treni za abilia kweli maana kutoka mpka mpk kwenye mji mkuu ni 100km tuu. Hii imekaaje?
Labda baada ya miaka ishirini ijayo. Sasa hivi hiyo ni ndoto tu😎mkuu! ondoa shaka kuhusu hilo! cheki hapa route watakayotumia Burundi... strategic points only... iwe cargo au passengers,,, wako sorted 👇
View attachment 3000594