Utaishi kwa raha na starehe ukiacha kufuatilia mambo ya Tz; wewe nyang'au wa bongoππhistory repeats itself. ni wapi ulisikia ndege ya Kq imeshikwa au serikali ya Kenya inadaiwa na mtu binafsi?
kuna pahali uliwai sikia Kenya imeonewa huruma na kusamehewa deni la aina yoyote???
kwa hio kuwa mpole.
tayari naishi maisha mazuri namshukuru Mwenyezi Mungu Alhamdulillah!Utaishi kwa raha na starehe ukiacha kufuatilia mambo ya Tz; wewe nyang'au wa bongoππ
katuni kweli ww. tuongee ukweli/ uhalisia. kitu kilichopo na sio kisichokuwepo. hakuna cha "unajua, unajua, unajua...... " mpaka saa ngapi?
Dar Port ina handle 17m tons of which 10 inapotelea Dar, 5m tons ni ya Tanganyika na 2m tons inaenda na Tazara. huo ndio ukweli. hakuna mzigo wowote unaoelekea Mwanza...
rekodi zote utazipata bandarini... usituletee assumptions zako hapa π€£
wake up!
Embu update upumbavu wako hapakatuni kweli ww. tuongee ukweli/ uhalisia. kitu kilichopo na sio kisichokuwepo. hakuna cha "unajua, unajua, unajua...... " mpaka saa ngapi?
Dar Port ina handle 17m tons of which 10 inapotelea Dar, 5m tons ni ya Tanganyika na 2m tons inaenda na Tazara. huo ndio ukweli. hakuna mzigo wowote unaoelekea Mwanza...
rekodi zote utazipata bandarini... usituletee assumptions zako hapa π€£
wake up!
You brain has got no brainsunaleta fictions halafu unashupalia shingo eti ni facts. hutaki kabisa kukubaliana na reality on the ground. just be brave and call a spade for what it is. hakuna atakayekupiga π€£π€£π€£
View attachment 3003947
BRT je? π€£π€£π€£π€£not really.... jirani anafanya kitu akidhani anatukomoa. ana ulazma wa ku-counter chochote/ lolote tunalolifanya mwisho wake anaanguka vibaya hadi anatia aibu.
sio bagamoyo, sio atcl, sio dry port, sio sgr.... baadae anaishia kukunja mkia π€£π€£π€£π€
Chanzo π€£π€£π€£π€£πππ when sheet hits the fan...
hii safari bado ni ndefu sana aiseee π
View attachment 3003964
Nyangβau wa kibongoππtayari naishi maisha mazuri namshukuru Mwenyezi Mungu Alhamdulillah!