Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaishi kwa raha na starehe ukiacha kufuatilia mambo ya Tz; wewe nyang'au wa bongo๐๐history repeats itself. ni wapi ulisikia ndege ya Kq imeshikwa au serikali ya Kenya inadaiwa na mtu binafsi?
kuna pahali uliwai sikia Kenya imeonewa huruma na kusamehewa deni la aina yoyote???
kwa hio kuwa mpole.
tayari naishi maisha mazuri namshukuru Mwenyezi Mungu Alhamdulillah!Utaishi kwa raha na starehe ukiacha kufuatilia mambo ya Tz; wewe nyang'au wa bongo๐๐
katuni kweli ww. tuongee ukweli/ uhalisia. kitu kilichopo na sio kisichokuwepo. hakuna cha "unajua, unajua, unajua...... " mpaka saa ngapi?
Dar Port ina handle 17m tons of which 10 inapotelea Dar, 5m tons ni ya Tanganyika na 2m tons inaenda na Tazara. huo ndio ukweli. hakuna mzigo wowote unaoelekea Mwanza...
rekodi zote utazipata bandarini... usituletee assumptions zako hapa ๐คฃ
wake up!
Embu update upumbavu wako hapakatuni kweli ww. tuongee ukweli/ uhalisia. kitu kilichopo na sio kisichokuwepo. hakuna cha "unajua, unajua, unajua...... " mpaka saa ngapi?
Dar Port ina handle 17m tons of which 10 inapotelea Dar, 5m tons ni ya Tanganyika na 2m tons inaenda na Tazara. huo ndio ukweli. hakuna mzigo wowote unaoelekea Mwanza...
rekodi zote utazipata bandarini... usituletee assumptions zako hapa ๐คฃ
wake up!
thebusinesswiz.co.tz
You brain has got no brainsunaleta fictions halafu unashupalia shingo eti ni facts. hutaki kabisa kukubaliana na reality on the ground. just be brave and call a spade for what it is. hakuna atakayekupiga ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
View attachment 3003947
BRT je? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃnot really.... jirani anafanya kitu akidhani anatukomoa. ana ulazma wa ku-counter chochote/ lolote tunalolifanya mwisho wake anaanguka vibaya hadi anatia aibu.
sio bagamoyo, sio atcl, sio dry port, sio sgr.... baadae anaishia kukunja mkia ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คญ
Chanzo ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐ when sheet hits the fan...
hii safari bado ni ndefu sana aiseee ๐
View attachment 3003964
thebusinesswiz.co.tz
Nyangโau wa kibongo๐๐tayari naishi maisha mazuri namshukuru Mwenyezi Mungu Alhamdulillah!