Angalia post kama hii, eti " alaf nimegundua hawa yapi markezi kama wanatumia high technology kujenga hvi vituo "
Eti high technology... Hio ndo nini? Alafu kama kawa mtz mwenzako atalike na ku comment kitu kuhusu SGR Kenya alafu mtaamua hakuna technojia kama hio Africa nzima.. blah blah ...
In reality hakuna lolote mnalojua kuhusu hivyo vituo exept render ya hicho kituo....
Mimi kwa SGR Kenya naeza kuambia hata ratio na Aina ya mchanga na density of ya simiti iliotumika kulingana na kituo, naeza nikakwambia nguzo zilichimbwa Chini kiasi gani..etc