Kwa pale sio eneo ya maji kusimama. Ila ukienda kwa mbele drainage ipo.hakuna hata drainage system.... very very dangerous!
reli haina elevation kabisa. kumbuka tunajenga kwa miaka mia moja ijayo. hii inakaa iko cheap sana.
Naona hatimaye umepata pa kujishikiliaππreli haina elevation kabisa. kumbuka tunajenga kwa miaka mia moja ijayo. hii inakaa iko cheap sana.
Hebu angalia pia hapaπww hupendi ukweli. kubali tu yaishe π€£π€£π€£
na yule jamaa wa kuota ndoto za mchana coodip1. jinga sana π€£
π€£π€£π€£π€£π€£ nimecheka sana.Hebu angalia pia hapaπ
View attachment 3022481
Sijapanicππ€£π€£π€£π€£π€£ ...
naona umepanic....
sasa kwanini mbona unaokoteza vipicha visivyoeleweka ili kujipanguzia machozi. kumbuka reli ya Kenya imeanza June 2017Sijapanicπ
Upuuzi mtupuπsasa kwanini mbona unaokoteza vipicha visivyoeleweka ili kujipanguzia machozi. kumbuka reli ya Kenya imeanza June 2017
View attachment 3022502
asante kwa kuishiwa hoja πUpuuzi mtupuπ
Kivipi?asante kwa kuishiwa hoja π
kuna mambo mengi sana zaidi ya 'looks' my friend. tukija kwenye suala kuu la logistics, hapo ndipo tunapoenda kuizika kabisa hiyo Nyenyenye Express!KWANGU mimi binafsi treni nimelipenda kwa kuliangalia hivi ni zuri sana hata ukiangalia kwenye picha au video.
Limenipita pale nimelipenda sana.
Siku ile niliingalia kwa mbali.
Halina kelele kama la kenya
Lewis254 ,
Yani ni raha sana kuliangalia.
Wameshindwa kaka zako akina BoniYai na Mdude wewe ndio utaweza kuizika?ππkuna mambo mengi sana zaidi ya 'looks' my friend. tukija kwenye suala kuu la logistics, hapo ndipo tunapoenda kuizika kabisa hiyo Nyenyenye Express!
Endelea kujifurahisha hiyo picha si SGR Tanzania!ππ
View attachment 3022369
View attachment 3022370
i told ya πππ€π
View attachment 3022371
what kind of an embankment is this ππ
View attachment 3022379
satan!
Wewe upo dsm nenda gongolamboto kaangalie.Endelea kujifurahisha hiyo picha si SGR Tanzania!
Nimepiga leo
Hata video hio nimechukua leo
Zote nilizotuma ni leo nimepiga
shukran sana bro π€£