Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

ndani ya week moja tu tayari,, reli imechakarika vibaya na hapo bado haijaanza kubeba mizigo wala kukutana na aina yoyote ya natural calamities.
hebu cheki hapa utadhani mbavu za mbwa 👇
20240621_155727.jpg
 
ati hii ndio itakayobeba 2km long of nonsense 👇
20240621_155727.jpg

oya coodip1 come out of your hiding. picha imepigwa leo hii 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hapo ni eneo la Njia panda ya Majumba sita overpass ilikuwa haijakamilika bodaboda, bajaj na pedestrian walikuwa wana Cross hapo.
Mkuu hapo sio eneo la majumba sita , ni gongolamboto sokoni kwa nyuma kule ndo kuna reli ya SGR.
Watu wanavuka , kwa hapo Balaji haivuki labda mtu kwa kukokota baskeli. Na waenda kwa miguu
 
Hizo sehemu dsm zilikuwa nyingi tuu ukitoka Tazara pale baada ya reli kushuka chini.
Ila reli ilivyooanza safari wakaziba maeneo mengi ila hapo bado maana wanaopita eneo hilo ni wengi, sehemu zingine kuna madaraja yale wamejenga watu na magari wanapita juu.
Ila si kwa gongolamboto sokoni kwa nyuma.
 
Acha upumbavu english hujui na Swahili hujui. Hapo wewe kima umeelewaje?
acha kujitoa ufahamu. railway ndani ya wiki moja imepauka namna hio hapo kuna durability gani? hizi mbavu za umbwa ndio unataka kuniambia ziko 'more robust' na 'safe' kweli 👇
20240621_155727.jpg

IMG_20240622_135915.jpg

ni kipi usichokielewa hapa maana leo I am volunteering to put some sense in your head 👇
IMG_20240622_062637.jpg
 
Mkuu hapo sio eneo la majumba sita , ni gongolamboto sokoni kwa nyuma kule ndo kuna reli ya SGR.
Watu wanavuka , kwa hapo Balaji haivuki labda mtu kwa kukokota baskeli. Na waenda kwa miguu
ndio ujue kwamba hapa na-deal na walemavu wa akili (machizi), hebu sikia mmoja anasema ni Majumba Sita na mwengine ameikana kabisa hio picha anasema uwaregeshee Waganda Mgr yao.
nikiwaita washenzi, itakua sijatukana mtu.
tupia picha zingine ukipata nafasi.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
picha ya leo leo hii 👇
20240621_155727.jpg

hapo mkandarasi amemaliza kazi akakusanya zake hivi sasa reli inafanya kazi.
wallahi hii ingekua ni Kenya pangechimbika mbaya sana hadi mkandarasi akarudisha hela
 
Utaumia bure mzee..hakuna nchi yyte dunia ambayo inampata mchina katika masuala ya reli na kila kitu katika hyo sector..
Ulaya wenyewe pia wanamtambua
i totally agree with you brother. Mturuki ni mtu katili sana.... kamwe sitowai msahau kwa alichokifanya hapa 👇
20240621_155727.jpg
 
Mkuu hapo sio eneo la majumba sita , ni gongolamboto sokoni kwa nyuma kule ndo kuna reli ya SGR.
Watu wanavuka , kwa hapo Balaji haivuki labda mtu kwa kukokota baskeli. Na waenda kwa miguu
Hao ndio wanaomomonyoa hizo sehemu kwani fencing bado huko au kuna kivuko cha juu cha magari kinajen gwa
 
ndio ujue kwamba hapa na-deal na walemavu wa akili (machizi), hebu sikia mmoja anasema ni Majumba Sita na mwengine ameikana kabisa hio picha anasema uwaregeshee Waganda Mgr yao.
nikiwaita washenzi, itakua sijatukana mtu.
tupia picha zingine ukipata nafasi.
Kafie mbele wewe baki na garimoshi lenu kwanza linahitaji engine overhaul
 
Kafie mbele wewe baki na garimoshi lenu kwanza linahitaji engine overhaul
leo nime-offer kukupa free lessons. free of charge. jikite kwenye mada 🤭🤣
IMG_20240622_062637.jpg

De6oSz9XUAAi08P.jpg

tuliwaambia zamani sana kwamba reli yenu mnajenga flat sana kama barabara ya lami na hamuweki slope protection, matokeo yake ndio haya 👇
20240621_155727.jpg

IMG_20240622_135915.jpg

IMG_20240622_150357.jpg
 
wamechanganyikiwa hadi wanaleta habari za 2016 🤣🤣🤣🤣🤣
IMG_20240622_160739.jpg

20240422_020759.jpg
 
Back
Top Bottom