blah blah blah, kama kawa, zero actual substanceNazani majibu umepewa mubashara kabisa.. halafu rail yetu ni design & build ukielewa hili itakusaidia sana. Watu walisha ichambua waka conclude ni the best in Africa au tukuletee link [emoji23]
blah blah blah, kama kawa, zero actual substance
Polepole wanaona wasichoamini yaani sasa poles za umeme zinasimamishwa viaduct ya Stesheni-Buguruni nearly 50%! Vituo foundation zinajengwa.Hzo ni roho mbaya budaa kubali kua wachina waliwacharaza ipasavyo
Ubora wa reli huonyeshwa Kwa details za reli... Hamna official details zozote ni blah blah kila siku...Hzo ni roho mbaya budaa kubali kua wachina waliwacharaza ipasavyo
Angalia post kama hii Kwa mfano.... eti " alaf nimegundua hawa yapi markezi kama wanatumia high technology kujenga hvi vituo "Vituo vya SGR vya soga na pugu vikiwa vinaendelea na ujenzi, alaf nimegundua hawa yapi markezi kama wanatumia high technology kujenga hvi vituo sijui watanzania mumegundua hicho kituπππππππ
View attachment 962530View attachment 962531
Sijaelewa ni hasira au umepanic budaa hebu andika bila kutumia hasira plz nikueleweπππππππAngalia post kama hii, eti " alaf nimegundua hawa yapi markezi kama wanatumia high technology kujenga hvi vituo "
Eti high technology... Hio ndo nini? Alafu kama kawa mtz mwenzako atalike na ku comment kitu kuhusu SGR Kenya alafu mtaamua hakuna technojia kama hio Africa nzima.. blah blah ...
In reality hakuna lolote mnalojua kuhusu hivyo vituo exept render ya hicho kituo....
Mimi kwa SGR Kenya naeza kuambia hata ratio na Aina ya mchanga na density of ya simiti iliotumika kulingana na kituo, naeza nikakwambia nguzo zilichimbwa Chini kiasi gani..etc
just what I thought, hua hamuezi endelea mjadala zaidi ya hapo...Sijaelewa ni hasira au umepanic budaa hebu andika bila kutumia hasira plz nikueleweπππππππ
πππππ yani wanaumia sana sema wanajikaza kweli kweliPolepole wanaona wasichoamini yaani sasa poles za umeme zinasimamishwa viaduct ya Stesheni-Buguruni nearly 50%! Vituo foundation zinajengwa.
Ubora wa reli huonyeshwa Kwa details za reli... Hamna official details zozote ni blah blah kila siku...
just what I thought, hua hamuezi endelea mjadala zaidi ya hapo...
Construction of phase two morogoro to singida ujenzi unaendelea kwa kasi sanaπππππππππAnyway,
phase 2A drainage works at +km 46 (kampuni za Kenya za kibinafsi ndo hupewa kandarasi za kujenga mitaro as part of local content)
Tuanze na kitu muhimu kama projected cargo demand/capacity ya kila mwakaWw unahitaji detail gani ??? Au wewe wapi hujaelewa
Hvi budaa hilo ni swali unaeza uliza??? Wewe unajua tanzania imezungukwa na nchi ngapi landlock countries demand ni kubwa sana sio tu kwenye cargo hata passengers still demand ni kubwa sanaTuanze na kitu muhimu kama projected cargo demand/capacity ya kila mwaka