Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

kumbe miaka kumi ilopita πŸ‘‡

alafu ikumbukwe huyu M7 kuna wakati alizuru Mombasa Port,,, hakuamini alichokiona na macho, alirudi kwao kuenda kuwasimulia watu wake
 
hata mm pia nakumbuka!
 
#Rutomustgo.
we deserve better. sisi sio maiti kama nyinyi. imagine hapa ni Gongo La Mboto, picha ya leo leo hii πŸ‘‡ 🀭

kisha umekaa umetulia tuli kama maji kwenye mtungi. yaani akili yako inakuambia hakuna shida hapo na uko proud kusema ni picha ya Uganda Mgr. ww ni ng'ombe kama yule domokaya mwenzako wa kuota mchana kweupe
 
#Rutomustgo.
 
Suala hilo limeshaonwa na uongozi. Linashughulikiwa. Kwenye mradi mkubwa kama huu huwezi kuziba mapungufu yote kwa wakati mmoja. Elewa hilo😎
Yah wafanye sio Geza Ulole unakataa mara ni picha ya zamani mara si TZ.
Leo nimeona hata nguzo zipo kwa ajiri ya fensi


Mradi mzuri.

Hata mimi naona treni mzuri sana tena inatumia technology kubwa hata kuliko ya kenya.
 
Yani hapa sijui watafanya nini ni kujenga zege tuu na ngazi kwa ajiri ya watu kuvuka , maana ni wengi wanaotumia pale.
Your browser is not able to display this video.

Hapo hakuna namna.
Sasa sijajua wao watarekebishaje.
Your browser is not able to display this video.
 
Mturuki bhana 🀣🀣🀣🀣🀣
I told ya πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…