Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Muongo, yeye alitaka kutuKenya kwenye huu mradi wa SGR. Pesa tu za kumalizia JNIA kulikuwa hakuna, asipende kusafiria nyota za wengine. Mbona achukui credit kwenye mradi wa Bodaboda na Bajaji zinazo wamaliza vijana kwa ajali?
Huyu mzee alitaka kutuletea treni la diesel, hata nafikili technology ya sasa kama SGR inavyotumia isingekuwepo kabisa.
 
Mimi nipo hapa, hapa naliona treni , hata linavyopita kama halijapiga honi, na upo kwenye reli ni rahisi kukupitia kabisa maana sauti yake ni ndogo sana.
Mpk raha kuliona na speed inavyoenda.
 
Ila huu mradi kizaazaa,nimekata ticket jana naambiwa treni imejaa nitapata nafasi kesho kutwa.
Inatakiwa waongeze treni moja ama mabehewa aisee.
Aaaa mwisho ni mabehewa 14 tuu, mkuu kulingana na speed yaa treni.

Duu inamaana mpka ya kesho limejaa?
 
Ila huu mradi kizaazaa,nimekata ticket jana naambiwa treni imejaa nitapata nafasi kesho kutwa.
Inatakiwa waongeze treni moja ama mabehewa aisee.
Ila ni kwamba , Train linaweza kuwa linafanya kazi moja tuu. Au mawili.
Kwa sababu linatoka dsm saa 12:00 asubui. Saa 1:49 linafika moro.
Hilo hilo linatoka saa 2:50 moro dsm linafika saa 4:40 asubui.

Afu linawezekana hilo hilo au lingine saa 10 jioni linaondoka dsm moro linafika saa 11 na saa 1 linaondoka moro dsm linafika saa 3 night nahisi.

Hakuna treni zinazopishana.
Ila nafikili safari zikiaanza mpk dodoma yanaweza kuwa mengi , mtu unaweza kupanda la dodoma ukashuka moro, kama wataruhusu.
Maana wanaweza taka abiria wa dodoma tuu.
 
Aisee mkuu treni hii kama iko moja itatutesa.
Yani laa sivyo ukate tiketi leo usafiri kesho kutwa.
 
Aisee mkuu treni hii kama iko moja itatutesa.
Yani laa sivyo ukate tiketi leo usafiri kesho kutwa
Aaaa mwisho ni mabehewa 14 tuu, mkuu kulingana na speed yaa treni.

Duu inamaana mpka ya kesho limejaa?
Mpaka ya kesho kaka aisee.
Yani mpaka Jumatatu Sie tulokata jana ndio tunaweza kusafiri.
Pia kuna changamoto kidogo katika ukataji tiketi wanatakiwa waboreshe mfumo.
 
Yani unakata ticket wamechukua pesa afu unaedna wanakwambia train limejaa , huku ushakata ticket au bado?
 
Yani ndo hapo sijaelewa , maana kama wanajua treni la kesho asubui limejaa kwa nini wachukue pesa ya mtu anayetaka train la kesho asubui??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…