Demand imekuwa kubwa sana waongeze frequency tuuIla huu mradi kizaazaa,nimekata ticket jana naambiwa treni imejaa nitapata nafasi kesho kutwa.
Inatakiwa waongeze treni moja ama mabehewa aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Demand imekuwa kubwa sana waongeze frequency tuuIla huu mradi kizaazaa,nimekata ticket jana naambiwa treni imejaa nitapata nafasi kesho kutwa.
Inatakiwa waongeze treni moja ama mabehewa aisee.
Tiketi unakata mtandaoni kaka.Yani unakata ticket wamechukua pesa afu unaedna wanakwambia train limejaa , huku ushakata ticket au bado?
Ndio Yani muitiko wa watu umekua tofauti kaka.Demand imekuwa kubwa sana waongeze frequency tuu
Tiketi unakata mtandaoni kaka.Yani ndo hapo sijaelewa , maana kama wanajua treni la kesho asubui limejaa kwa nini wachukue pesa ya mtu anayetaka train la kesho asubui??
Aaaa hakuna kukata kawaida??Tiketi unakata mtandaoni kaka.
Ukienda pale unaionesha na kuprint out kaka.
Ila kufika pale wakasema tiketi yako utaitumia Jumatatu maana treni imejaa mpaka ya jumapili.
Maana unavyokata so unaweka kuwa unataka treni ya siku flani na muda gani??Tiketi unakata mtandaoni kaka.
Ila wakati unakata usikute wenzako wamekata mapema zaidi yako.
Sijaona kaka.Aaaa hakuna kukata kawaida??
Ndio maana nikakwambia kaka wanatakiwa warekebishe huu mfumo.Maana unavyokata so unaweka kuwa unataka treni ya siku flani na muda gani??
Inamaana kama treni ya kesho asubui imejaa inatakiwa system yenyewe ionyeshe kwamba ticket za kesho zimejaa.
Sasa kama mambo yenyewe ndo hayo daaa.
Yani kutoka dsm mpk moro ndo usubili mpk j3 duuu
Hapo utakuta kuandaa huo mfumo, wamemchukua mtu wanaojuana baada ya kutafuta mtaaramu wa hayo mambo. Sasa hicho ni moro .Ndio maana nikakwambia kaka wanatakiwa warekebishe huu mfumo.
Watarekebisha tu na huwenda treni zikaongezwa na safari kuongezeka.Hapo utakuta kuandaa huo mfumo, wamemchukua mtu wanaojuana baada ya kutafuta mtaaramu wa hayo mambo. Sasa hicho ni moro .
Sasa reli ikiisha safari kila sehemu itakuwaje aiseee
Wameita waandishi wa Habari, ngoja tusubiri warushe