Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Yani unakata ticket wamechukua pesa afu unaedna wanakwambia train limejaa , huku ushakata ticket au bado?
Tiketi unakata mtandaoni kaka.
Ukienda pale unaionesha na kuprint out kaka.
Ila kufika pale wakasema tiketi yako utaitumia Jumatatu maana treni imejaa mpaka ya jumapili.
 
Yani ndo hapo sijaelewa , maana kama wanajua treni la kesho asubui limejaa kwa nini wachukue pesa ya mtu anayetaka train la kesho asubui??
Tiketi unakata mtandaoni kaka.
Ila wakati unakata usikute wenzako wamekata mapema zaidi yako.
 
Tiketi unakata mtandaoni kaka.
Ukienda pale unaionesha na kuprint out kaka.
Ila kufika pale wakasema tiketi yako utaitumia Jumatatu maana treni imejaa mpaka ya jumapili.
Aaaa hakuna kukata kawaida??
 
Tiketi unakata mtandaoni kaka.
Ila wakati unakata usikute wenzako wamekata mapema zaidi yako.
Maana unavyokata so unaweka kuwa unataka treni ya siku flani na muda gani??
Inamaana kama treni ya kesho asubui imejaa inatakiwa system yenyewe ionyeshe kwamba ticket za kesho zimejaa.
Sasa kama mambo yenyewe ndo hayo daaa.
Yani kutoka dsm mpk moro ndo usubili mpk j3 duuu
 
Ndio maana nikakwambia kaka wanatakiwa warekebishe huu mfumo.
 
Ndio maana nikakwambia kaka wanatakiwa warekebishe huu mfumo.
Hapo utakuta kuandaa huo mfumo, wamemchukua mtu wanaojuana baada ya kutafuta mtaaramu wa hayo mambo. Sasa hicho ni moro .
Sasa reli ikiisha safari kila sehemu itakuwaje aiseee
 
Baada ya kutafuta mtaalamu wa kuandaa system wao wamerafuta mtu wa mchongo.
Ni aibu kwa treni la kesho saa 12 kamili. Mtu akikata siti flani basi na inakata tena kwa mtu mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…