Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #17,081
Ngarangara nginjanginja bado ni yale yale.Madaraka Express brings you Luxury Travel Coach.
28 Passengers Maximum
View attachment 3030999
View attachment 3031000
View attachment 3031001
hujielewiNgarangara nginjanginja bado ni yale yale.
Bro kubalini hapo mmepuyanga kwa upande wa treni.hujielewi
Na ndio huyo Lewis254 avavyoomba kwa Mungu kila kukichaππ...Labda muombee mradi wetu ufeli...
Basi pole yao.Na ndio huyo Lewis254 avavyoomba kwa Mungu kila kukichaππ
Hutikisiki aiseee sio kama Madaraka express kama umepanda pikipiki ya fekon yenye Kiroba cha mkaa.
Interior ya ndani mzuriMadaraka Express brings you Luxury Travel Coach.
28 Passengers Maximum
View attachment 3030999
View attachment 3031000
View attachment 3031001
Mmeleta mabehewa mangapi au ndo hilo hiloMadaraka Express brings you Luxury Travel Coach.
28 Passengers Maximum
View attachment 3030999
View attachment 3031000
View attachment 3031001
Kivip wakati inapita kwenye jointed rail? Au itapaa? Msitie lipstick nguruwe!hujielewi
Kundurenda waendelee na maandamano!Daraja refu zaidi Africa Mashariki na Katiπ
View: https://m.youtube.com/watch?v=Ko0rsZ3K3m0&t=204s
Daaa eti samia express.
Itaisha siku utakayokufa. Usijali sanaπβ¦.sijui itaisha lini.
Daaaa
π€£π€£π€£π€£.Itaisha siku utakayokufa. Usijali sanaπ
Nani ametamba?ππ€£π€£π€£π€£.
Mbongo mbongo tuuu.
Humu jf mnatamba utafikili TZ maisha kama Singapore vile au nepal.
Kumbe wala. ππ
π€£π€£π€£
Mmeshafeli na treni zenu za enzi za Kim Jong IlMadaraka Express brings you Luxury Travel Coach.
28 Passengers Maximum
View attachment 3030999
View attachment 3031000
View attachment 3031001