Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kwa Tanzania infusion fluid tunanunua wapi???
Achana na zinazotengeneza infusion unit, kama st.francis hospital kule.
Kwani Tanzania syringe πŸ’‰ tunanunua wapi???
Hasa medical supplies? Tunanunua wapi???

WEWE NDO ACHA UHONGO
NA NINARUDIA ACHA UHONGO.
KAMA WEWE NI CHAWA SAWA.

WEWE mwenyewe upo TZ hapa unajua hali halisi. Unaleta ubishi tuu.
🀣🀣🀣🀣
 
Mimi ni mbongo nazungumzia vitu vya bongo, achana na kudanganya hapa kijana.
Unaleta ubishi tuu kubishana na wakenya na vyakwao huko.
Mimi mwenyewe mzee wangu ana shida moja ya afya , daktari mmoja pale wa mwimbili alimwambia aachane napo kwa kuwa madaktari wa pale wanakimbilia operation , akaambia sometimes operation yaweza leta shida nyingine. Hapo hapo unapopasifia mkuu. Akamwambia aende kwingine.
 
UKIONA WATU WAMEKUZIDI KIUCHUMI UJUE WAMEKUZIDI VITU VINGI NDUGU YANGU ACHA UBISHI TUU.

SASA tukirudi kwa kenya uchumi wa kenya ni mkubwa kuliko wetu.
Wewe unafikili inamaana gani???
 
Mimi ni health care provider.
Najua hospital za serikali , asilimia kubwa ni mbovu , usilete uhongo.
Navyosema hivyo hasa kwenye Uduma.
Acha uwongo.
Mwimbiri tuu pale vitanda vichache.
Health care provider wa cadre gani?
 
Health care provider gani unayeandika Mwimbiri badala ya Muhimbili?
hata akiandika tumbiri kuna shida gani so long as umepata concept ya anachomaanisha... ni kawaida sana kupata daktari asiye na mwandiko mzuri. ww ukishaona tu '1x1' au '1x3' huko kwengine jijazie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…