Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kwani wamerekani ni akina nani?

Sisi wenyewe siasi za Kijamaa ni chazo kimoja chake cha umaskini.
Undo maana China Deng Xiaoping
Aliitoa china na akaleta wawekezaji kutoka nje.

Sasa za kijamaa zinafanya watu maskini sana.
Nakubali,Ila nikitaka onesha kwa nini India Ina GDP kubwa lakini wengi masikini, economic growth na economic welfare,gdp hupima growth
 
Kwani wamerekani ni akina nani?

Sisi wenyewe siasi za Kijamaa ni chazo kimoja chake cha umaskini.
Undo maana China Deng Xiaoping
Aliitoa china na akaleta wawekezaji kutoka nje.

Sasa za kijamaa zinafanya watu maskini sana.
China haikuendelea kwa wawekezaji wa nje we jamaa.
China iliendelea kwa kuanza na closed economy kwa kufanya massive industrialization.
1992 China ilikua ishajenga zaidi ya viwanda 45000 ambavyo vyote vya kisasa na vya wazawa wakaanza massive production.
Hizi habari zako mkuu unatoa wapi!!??
 
Hata wewe na kushangaa kwa upuuzi wako kushangaa kenya kuja kuomba dawa , inamaana waliishiwa kwenye stock, sasa sijashangaa unachowashwa ni nini.

Na sidhani kama walikuja kuomba wapewa bure ila si wenyewe tuu ndo tumewapa bure, tungewahuzia wasingekataa kununua.

Any way sishangai ndo yale yale ya akina nyerere kupeleka askari wa TZ kwenda kupigana mshumbiji, Zimbabwe, na South africa kukomboa afu anatumia resources za huku kwetu 😔, hatukulipwa chochote.
Rwanda kapeleka askari tuu pale mshumbiji wamechukua pesa nyingi kweli. Ni zaidi ya dollar 50 million. Sishangai kwa TZ kugawa vitu bure nje.

Wametuzidi kwa GDP.
Uzalishaji wao wa ndani ni mkubwa kuliko sisi. Mkuu .
Ni sawa na Singapore nchi ndogo wenye kuimport over 90% ya chakula tena wanatoa Africa huku. Ila wana GDP over Billion $300.

Sasa utajiuliza kwa nini wana GDP kubwa afua wanachukua msosi kwetu huku.
😅😅😅
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mbona unachekesha we jamaa!?
Uliona alichoongea waziri wa afya wa Kenya!?
Alisema WALISHINDWA KUPATA DAWA WALIKAA MIEZI MIWILI BILA DAWA ZA TB.
Unafahamu maana ya miezi miwili!?
Na waziri wao ALIKUJA KUOMBA hakuja kununua.
Bro mbona una kichwa kigumu sana!?
Kama wangekua wanajiweza si wangenunua hata UGANDA katika hiyo miezi miwili waliyokaa bila dawa!?

Suala la chakula huwezi linganisha na masuala mengine ya kiuchumi.
Singapore ni taifa moja wapo linaloongoza kiteknolojia,wameendelea sana katika masuala ya viwanda na masuala ya AI.
Wewe unawapata wapi!?

Kenya hiyo massive production wanayofanya iko wapi unayosema wametuzidi!?
Mbona inashindwa kuwasaidia hata kuweka ruzuku ya mafuta!?
Unajua Kenya wanaandamana kwasababu gani!?

Masuala ya kijeshi usifananishe na masuala mengine ya kiuchumi,we una uhakika gani kama Tanzania hawanufaiki kidiplomasia kwa kusaidia mataifa kijeshi!?

Aisee we jamaa akili zako!?
 
hakuna kukumbia ww. unakimbia unaenda wapi? tupo hapa hadi tuone reli ikijifia yenyewe kama vile BRT ipo I.C.U saa ii
BRT haijafa isipokua ufanisi hakuna.
BRT inaleta faida wala haileti hasara isipokua kero za wateja wa BRT zimekua nyingi,hivyo kinachohitajika ni uboreshaji wa huduma tu.
 
Wewe umesema US akitaka kununua vitu nje ana print tu dollar,je pesa zinaprintiwa bila kanuni!?
Au hiyo kauli hujazungumza wewe!?
Kama US wanaprint tu dollar wanavyotaka wao kwanini CHINA ndio iongoze kuwa na dollar reserve kubwa!?
🙌🙌🙌🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…