Hata wewe na kushangaa kwa upuuzi wako kushangaa kenya kuja kuomba dawa , inamaana waliishiwa kwenye stock, sasa sijashangaa unachowashwa ni nini.
Na sidhani kama walikuja kuomba wapewa bure ila si wenyewe tuu ndo tumewapa bure, tungewahuzia wasingekataa kununua.
Any way sishangai ndo yale yale ya akina nyerere kupeleka askari wa TZ kwenda kupigana mshumbiji, Zimbabwe, na South africa kukomboa afu anatumia resources za huku kwetu 😔, hatukulipwa chochote.
Rwanda kapeleka askari tuu pale mshumbiji wamechukua pesa nyingi kweli. Ni zaidi ya dollar 50 million. Sishangai kwa TZ kugawa vitu bure nje.
Wametuzidi kwa GDP.
Uzalishaji wao wa ndani ni mkubwa kuliko sisi. Mkuu .
Ni sawa na Singapore nchi ndogo wenye kuimport over 90% ya chakula tena wanatoa Africa huku. Ila wana GDP over Billion $300.
Sasa utajiuliza kwa nini wana GDP kubwa afua wanachukua msosi kwetu huku.
😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mbona unachekesha we jamaa!?
Uliona alichoongea waziri wa afya wa Kenya!?
Alisema WALISHINDWA KUPATA DAWA WALIKAA MIEZI MIWILI BILA DAWA ZA TB.
Unafahamu maana ya miezi miwili!?
Na waziri wao ALIKUJA KUOMBA hakuja kununua.
Bro mbona una kichwa kigumu sana!?
Kama wangekua wanajiweza si wangenunua hata UGANDA katika hiyo miezi miwili waliyokaa bila dawa!?
Suala la chakula huwezi linganisha na masuala mengine ya kiuchumi.
Singapore ni taifa moja wapo linaloongoza kiteknolojia,wameendelea sana katika masuala ya viwanda na masuala ya AI.
Wewe unawapata wapi!?
Kenya hiyo massive production wanayofanya iko wapi unayosema wametuzidi!?
Mbona inashindwa kuwasaidia hata kuweka ruzuku ya mafuta!?
Unajua Kenya wanaandamana kwasababu gani!?
Masuala ya kijeshi usifananishe na masuala mengine ya kiuchumi,we una uhakika gani kama Tanzania hawanufaiki kidiplomasia kwa kusaidia mataifa kijeshi!?
Aisee we jamaa akili zako!?