Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

yapi maoni yako kuhusiana na hii inshu mwana KOMANDO YOSO. binafsi mm naona jamaa wameanza ubaguzi πŸ‘‡
View attachment 3039420
kuna kitu kinaitwa standards huwezi ukaruhusu waingize vifugo hai kwenye mabehewa! Zile wagons hazitabaki salama! Kama wanataka kusafirisha nyama basi watumie mabehewa ya jokofu yanayokuja!
 
sasa lile begi lako la 'shangazi kaja' limekosa nini hadi walipige marufuku. mihogo yako pamoja na miwa utaibebaje kuja nayo dar?
Size yake mbona unakuwa unawashwa na maamuzi ya kampuni ya Tanzania kuliko ya nchi yako? BTW narrow gauge trains hazikatazi shangazi kaja na kuku!
 
Kuku pandisheni huko Kenya kwenye SGR trains zenu huku sisi hatutaki tumeshatoka huko.
ni asili yetu sisi Watanzania tunapokwenda vijijini kuwatembelea baba zetu na shangazi zetu hawawezi kutuacha turudi mjini hivi hivi. wewe ukipewa kuku na shangazi yako utamwacha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…